Hakuna jitu katili duniani kama mwarabu unajua aliwahasi Babu zako ndo maana hakuna Black Arabs, mnaonipendekezaga kwenda arabuni Kwa kigezo Cha uislam mbona mkifika kule mnaishia kupewa kazi ya kuwachambisha Kwa ndimi zenu, mara kunyewa mdomoni, kufukuliwa mtaro ndo Kila siku, yaani mtu mweusi kujipendekeza Kwa mwarabu ni kukosa akiliHila wakipewa wazungu fresh tuu.. shida akija mwarabu.. chuki dhidi ya Uislamu
Dini ya kiislamu imeanzishwa na haohao Vatican.
Hawa kula nao jino kwa jino tu... Wanaonyesha chuki zao kweny fake Id wajinga hata wakitaka tuchapate fresh tu.
Acha muhemko leta hoja kwani wanauziwa au wanapewa tenda ya kuendesha uwanja. Nchi inahitaji mapato kutokana na kodi kama mpaka leo unaendeshwa kwa hasara kuna ubaya gani kama una binafisichwa, kwa mwekezaji, yoyote mwenye uwezo ata kama sio muarabu au muarabu,........tatizo lako ni chuki na muarabu sio kingine.
Ngoma bila kulewa tutaichezaje?Viongozi wetu ndivyo walivyo.
Hayo ma vx wanatumia kuzungukia maeneo ya kutupiga.
Ukiwaona na misafara na suti zao utadhani watu kumbe wapigaji tu.
Shenzi kabisa.
Na mpaka bi mdashi asepe ni kengele zetu tu ndio zitakua zimepona otherwise kila kitu kitakua kipo hatarini kupotea.
Tena hapa umena kabisa
Kwanini Oman wasipewe Tanesco?
Ona jinga hili, hakuna Waarabu Wakristo?
Hizi ajuza kweli akili anazo...ndio shida ya msimbe kua kiongoziNina taarifa za ndani kabisa watu wa karibu na Rais Samia wameshaingia Makubaliano ya awali na Kampuni kutoka Oman ya kuchukua shughuli za uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa KIA. Hata ile danganya toto ya Waziri Mbarawa kuwa shughuli za KADCO zimerejeshwa kwa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) ni hadaa tupu.
Watanzania wenzangu tukatae sasa kila rasilimali za nchi hii kupewa Waarabu. KIA ilijengwa na Mwalimu Nyerere kwa maono makubwa iweje leo apewe Oman? Kuna watu wanamtumia Rais vibaya kujinufaisha na mikataba hii kama ile ya DP.
KIA haitoki kwa Mwarabu, hila zenu tumezijua!
Hiyo hiyo unayoijua mkuu, ni kitabu chenye gamba jeusi juu kimeandikwa maneno ya herufi kubwa BIBLIA TAKATIFU.Biblia ipi?
Hakuna mzungu anaesimamia biashara ya Mwarabu sema biashara zote kubwa za uwekezaji kwa majina ya waarabu zinamilikiwa na wazungu. DPWMa hao waarabu biashara zao zote kubwa zinasimamiwa na wazungu,hata mashirika yao ya ndege yako chini ya wazungu,wenzetu masuala ya udini washayaacha toka karne ya 17 huko,kikubwa mikataba iwe win and win basi dini zinabaki misikitini na makanisani
Kwani kila mwarabu ni muislamu?Hila wakipewa wazungu fresh tuu.. shida akija mwarabu.. chuki dhidi ya Uislamu