Watanzania tukikubali maridhiano na CCM tutakuwa watu wa ajabu sana. Damu ya Polepole itatulilia hadi kaburini

Mdaiwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2025
Posts
1,147
Reaction score
2,919
Watanzania wenzangu lazima tujitofautishe na wanyama ambao pengine hawana kumbukumbu wala utashi.

Polepole alituambia kabisa kwamba kuna wazee wamepangwa kuja kufacilitate maridhiano baada ya uchaguzi wa 29 October 2025. Just imagine Balozi Humphrey Polepole alitufungua macho kuhusu script ya maridhiano iliyoandaliwa na wauaji baada ya uchaguzi. Wauaji hawakutaka maridhiano kabla ya uchaguzi kwa sababu walikuwa wamejipanga kupora uchaguzi na walikuwa tayari wameshaandaa mpango wa maridhiano baada ya uchaguzi. Humphrey Polepole aliliongea hili.

Hivi dunia na vizazi vyetu vitatuonaje kuingia kwenye maridhiano ambayo yalishaandaliwa kwa maksudi na wauwaji? Kwa kifupi ni kwamba wauaji walipanga kutuua kwenye uchaguzi (premeditated murder) ili waje na maridhiano baada ya kutuua kwenye uchaguzi. Hivi tukiingia kwenye maridhiano na hawa watu tutakuwa na akili ya namna gani? Yaani mpango wao wa kutuua kisha wafanye maridhiano ulifahamika na wameutekeleza halafu na sisi tuingie kwenye huu mpango?

Hivi Humphrey Polepole atajisikiaje kama bado yupo hai? Au kama amekufa damu yake itatuacha salama? Yaani tufanye maridhiano kwa makosa au dhambi ambayo imetendwa kwa maksudi? Na sio maksudi tu bali pia tulifahamishwa kabla ya hiyo dhambi kutendwa. Hapana aisee! Nadhani CCM walishatuona sisi watanzania hatuna akili ndio maana wanaweza kupanga kutuua na wakatuua kweli na wakatuambia njooni kwenye maridhiano na sisi tukakubali.

Watanzania hebu tuacheni kuwa wajinga, hakuna sababu ya kuridhiana na mtu mwenye dhihaka kama hii. Yaani mtu anapanga kukuua akitegemea atakuja aridhiane na wewe.
 
Una dini?
 
Maridhiano ni ya nani na nani?
Au ni kati walioshinda kwa 98% vs 2%
 
Kwan CCM ,wenyewe sio watanzania? Hebu rekebisha kwanza kichwa chako Cha habari
 
CCM ilipata asilimia 98 ya kura mwaka 2025.Sasa,wana wasiwasi gani hadi waombe maridhiano?Kama makubaliano walishayafanya na vyama vilivyoshiriki hayo ya 2025 na kupewa asilimia 2 kasorobo.CCM wanataka nini tena?
 
Wanasiasa wa kibongo anahongwa $750 anaua reputation yake aliyojenga for decades wakati wahongaji wanapiga deals za mabilioni, kwa kweli inabidi tuache kuomba mungu atupe uzima wa milele wa baadaye ila atuondoe unyani kwanza tuwe binadamu ndio baadaye tufikirie maisha yajayo!

Our immediate problem is not uzima ujao bali tumalize evolution process tuwe watu kamili, period
 
Watanzania wenzangu lazima tujitofautishe na wanyama ambao pengine hawana kumbukumbu wala utashi.

Polepole alituambia kabisa kwamba kuna wazee wamepangwa kuja kufacilitate maridhiano baada ya uchaguzi wa 29 October 2025. Just imagine Balozi Humphrey Polepole alitufungua macho kuhusu script ya maridhiano iliyoandaliwa na wauaji baada ya uchaguzi. Wauaji hawakutaka maridhiano kabla ya uchaguzi kwa sababu walikuwa wamejipanga kupora uchaguzi na walikuwa tayari wameshaandaa mpango wa maridhiano baada ya uchaguzi. Humphrey Polepole aliliongea hili.

Hivi dunia na vizazi vyetu vitatuonaje kuingia kwenye maridhiano ambayo yalishaandaliwa kwa maksudi na wauwaji? Kwa kifupi ni kwamba wauaji walipanga kutuua kwenye uchaguzi (premeditated murder) ili waje na maridhiano baada ya kutuua kwenye uchaguzi. Hivi tukiingia kwenye maridhiano na hawa watu tutakuwa na akili ya namna gani? Yaani mpango wao wa kutuua kisha wafanye maridhiano ulifahamika na wameutekeleza halafu na sisi tuingie kwenye huu mpango?

Hivi Humphrey Polepole atajisikiaje kama bado yupo hai? Au kama amekufa damu yake itatuacha salama? Yaani tufanye maridhiano kwa makosa au dhambi ambayo imetendwa kwa maksudi? Na sio maksudi tu bali pia tulifahamishwa kabla ya hiyo dhambi kutendwa. Hapana aisee! Nadhani CCM walishatuona sisi watanzania hatuna akili ndio maana wanaweza kupanga kutuua na wakatuua kweli na wakatuambia njooni kwenye maridhiano na sisi tukakubali.

Watanzania hebu tuacheni kuwa wajinga, hakuna sababu ya kuridhiana na mtu mwenye dhihaka kama hii. Yaani mtu anapanga kukuua akitegemea atakuja aridhiane na wewe.
Hakuna haja ya maridhiano. Twendeni hivi hiv mdogo mdogo mpk 2030
 
Hivi hawa maccm wanatuchukuliaje watanzania? Ni kwamba hatuna akili au hatuna kumbukumbu? Au vyote viwili hatuna?
Kiukweli Watanzania kuna namna flani bado hatujawa serious kudai haki zetu..

Na wanafahamu sasa njia iliyobaki ni kutishia watu, kuteka na kuua..

Hao kina Mwaipopo wanachofanya ni mipango mikakati ya watawala kuagiza mtu kama Mwaipopo ama Clemence Mwandambo watishie umma... maana watawala wanaelewa Watanzania wameingia uoga...
 
Back
Top Bottom