Watanzania tuliambiwa tuandamane tukakataa. Acheni tuendelee kudhalilishwa

Watanzania tuliambiwa tuandamane tukakataa. Acheni tuendelee kudhalilishwa

Msukuma Original

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2018
Posts
928
Reaction score
3,334
Wote mmemsikia Ndugai alivyokuwa anaongea kama "Mungu". Hii yoye ni kwa sababu watawala wameshajiridhisha sisi watanzania hatuna cha kuwafanya.

Tuliambiwa tudai haki yetu tukagoma. Na mimi nasema acheni tuendelee kuburuzwa maana tumezidi ukondoo.

Katiba iko wazi kuhusu ukomo wa ubunge pale anapokoma kuwa mwanachama wa chama kilichomsabibisha kupata ubunge. Ndungai hajali sheria na hakuna cha kumfanya.

Maskini Tanzania yangu.
 
Nawezaje kutafuta hela kwenye nchi yenye viongozi wasioheshimu katiba? Hizo hela si nitanyang'anywa kibabe na cha kuwafanya sina?
Utaumiza kichwa ndugu. Just imagine Speaker alivokua akiongea leo!!! Kwa akili yako yule yupo kuilinda katiba kweli?! Kwa mtindo ule!?

Yaani mtu anaongea unaona kabisa hana hofu na chochote iwe Mungu au binaadam.

Mtu aletakiwa kua role model leo hii anahalalisha ubabe.
Aaah tafta pesa tu
 
Mimi mpaka leo sihelewi iliwezakanaje Tz tukapewa uhuru mapema kuliko nchi za watu wabishi kama SA. Hivi Nyerere aliwapa nini mabeberu? Kwa huu ukondoo bila Nyerere hakika Tz ingekuwa koloni la taifa fulani.
 
Mimi ni mhanga katika hili la kutafuta hela na kunyang'anywa na serikali hii.
Wengi hawajui uchungu wa kudhulumiwa kibabe hasa na serikali. Mtu unabambikizwa kodi ya "MWANA UKOME" bila sababu wala kufuata makato sahihi. Mtu unakurupushwa kuombwa "RECEIPT YA MANUNUZI" ya miaka 10 iliopita (Wakijua hauna uwezo wa kuipata).

Kuna wafanyabiashara wakubwa nawafahamu wamepigwa fine zaidi ya Millioni 900, kuuliza kisa wakaambiwa hawakuji shughulisha ipasavyo na campaign za CCM 2020.

Ila mpaka mwakani December 2021, raia wote nchini tutaongea lugha moja. Trust me.
 
Watz huwezi kutupeleka kwenye maandamano yanayotawanywa kwa risasi za moto, inatakiwa kipatikane kikundi cha uasi/kigaidi cha kuwashughulikia watawala jeuri, na wote waliofanikisha ushindi wa LUSHINDO, Watanzania tuko tayari kukichangia hali na Mali, binafsi kila mwezi nitakuwa nachangia million moja!!
 
Nawezaje kutafuta hela kwenye nchi yenye viongozi wasioheshimu katiba? Hizo hela si nitanyang'anywa kibabe na cha kuwafanya sina?
Ndivyo ulivyoaminishwa? Pole sana mno. Aliyekuaminisha yuko Ulaya anakula bata wewe endelea kuamini mko kwenye vita moja. Tena pole zaidi sana.
 
Na kweli sisi ndio tatizo.. yaani mpaka hili la covid19 nalo tutalikalia kimya [emoji2296]
 
Wengi hawajui uchungu wa kudhulumiwa kibabe hasa na serikali. Mtu unabambikizwa kodi ya "MWANA UKOME" bila sababu wala kufuata makato sahihi. Mtu unakurupushwa kuombwa "RECEIPT YA MANUNUZI" ya miaka 10 iliopita (Wakijua hauna uwezo wa kuipata)...
Mkuu ukidhani kuna watako kuelewa hapa? Yaani kuna watu ni kama pamba zimesukumizwa hadi ndani ya masikio kabisa
 
Kenge huwa hazisikii mpaka uzitandike hadi damu ziwatoke masikioni ndiyo zinakusikia.
 
Back
Top Bottom