Tripo9
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 4,373
- 3,586
Mzee mkoloni mweusi mwenzako ni ngumu sana kupigana nae. Maana mnaishi wote hana pa kukimbilia. Karma pekeee inatosha. Subiri miaka hata 20+ mambo yatakua mazuri tu. Watu watajifunza makosa ya watangulizi wao.Kwanini iCCM ilitumia rasilimali za nchi yetu kwa ajili ya Uganda,msumbiji, South Africa,Namibia, Zimbabwe, Sahara magharibi , Angola ?nk.si tungewashauri watafute pesa!
Niishie hapo. Nna watoto.