Msukuma Original
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 928
- 3,334
Nawezaje kutafuta hela kwenye nchi yenye viongozi wasioheshimu katiba? Hizo hela si nitanyang'anywa kibabe na cha kuwafanya sina?Mzee tafta pesa watoto wale
Mimi ni mhanga katika hili la kutafuta hela na kunyang'anywa na serikali hii.Nawezaje kutafuta hela kwenye nchi yenye viongozi wasioheshimu katiba? Hizo hela si nitanyang'anywa kibabe na cha kuwafanya sina?
Mzee tafta pesa watoto wale
Utaumiza kichwa ndugu. Just imagine Speaker alivokua akiongea leo!!! Kwa akili yako yule yupo kuilinda katiba kweli?! Kwa mtindo ule!?Nawezaje kutafuta hela kwenye nchi yenye viongozi wasioheshimu katiba? Hizo hela si nitanyang'anywa kibabe na cha kuwafanya sina?
Maslahi mapana ya nchi ilikua enzi izo. Achana va hawa sifia sifia aka wachumia tumboMbona wakati wa mkoloni hawakusema tafuta pesa watoto wale tuwaache wakoloni watutawale
Wengi hawajui uchungu wa kudhulumiwa kibabe hasa na serikali. Mtu unabambikizwa kodi ya "MWANA UKOME" bila sababu wala kufuata makato sahihi. Mtu unakurupushwa kuombwa "RECEIPT YA MANUNUZI" ya miaka 10 iliopita (Wakijua hauna uwezo wa kuipata).Mimi ni mhanga katika hili la kutafuta hela na kunyang'anywa na serikali hii.
Ndivyo ulivyoaminishwa? Pole sana mno. Aliyekuaminisha yuko Ulaya anakula bata wewe endelea kuamini mko kwenye vita moja. Tena pole zaidi sana.Nawezaje kutafuta hela kwenye nchi yenye viongozi wasioheshimu katiba? Hizo hela si nitanyang'anywa kibabe na cha kuwafanya sina?
Mkuu ukidhani kuna watako kuelewa hapa? Yaani kuna watu ni kama pamba zimesukumizwa hadi ndani ya masikio kabisaWengi hawajui uchungu wa kudhulumiwa kibabe hasa na serikali. Mtu unabambikizwa kodi ya "MWANA UKOME" bila sababu wala kufuata makato sahihi. Mtu unakurupushwa kuombwa "RECEIPT YA MANUNUZI" ya miaka 10 iliopita (Wakijua hauna uwezo wa kuipata)...
Pole sana mkuu, nendeni kudai haki zenu hata katika mahakama ya Africa mashariki, hiyo ni dhuluma dhahiri.Mimi ni mhanga katika hili la kutafuta hela na kunyang'anywa na serikali hii.