Mzee mkoloni mweusi mwenzako ni ngumu sana kupigana nae. Maana mnaishi wote hana pa kukimbilia. Karma pekeee inatosha. Subiri miaka hata 20+ mambo yatakua mazuri tu. Watu watajifunza makosa ya watangulizi wao.Kwanini iCCM ilitumia rasilimali za nchi yetu kwa ajili ya Uganda,msumbiji, South Africa,Namibia, Zimbabwe, Sahara magharibi , Angola ?nk.si tungewashauri watafute pesa!
Hapo vikwazo by beberu na vijeMzee mkoloni mweusi mwenzako ni ngumu sana kupigana nae. Maana mnaishi wote hana pa kukimbilia. Karma pekeee inatosha. Subiri miaka hata 20+ mambo yatakua mazuri tu. Watu watajifunza makosa ya watangulizi wao.
Niishie hapo. Nna watoto.
Sasa kiongizi aliye tuambia tuandamane yy kakimbia nchi,tunakuomba ww na familia yako muwe viongizi wetu mstari wa mbele tukaandamaneWote mmemsikia Ndugai alivyokuwa anaongea kama "Mungu". Hii yoye ni kwa sababu watawala wameshajiridhisha sisi watanzania hatuna cha kuwafanya..
Anakula bata. Ila ana uchungu na nchi yake,ndo maana anaipigania tupate Uhuru toka mikononi mwa viongozi dhalimu kama kina ndu gay.Ndivyo ulivyoaminishwa? Pole sana mno. Aliyekuaminisha yuko Ulaya anakula bata wewe endelea kuamini mko kwenye vita moja. Tena pole zaidi sana.
Sasa aliye kwambia ukaandamane anaheshimu katiba,Kama anaheshimu arudi Basi kumakizia kesi zake zilizo chini ya katiba na siyo kukimbia kesi na kujidai anatishiwa,Nawezaje kutafuta hela kwenye nchi yenye viongozi wasioheshimu katiba? Hizo hela si nitanyang'anywa kibabe na cha kuwafanya sina?
Usilaumu wananchi maandamano hayakuratibiwa tuaanza wapi tuishia wapi tunajikusanya kwa salama ya siri ipi wasomali wakuu ni nani,kumbuka baada yakutangaza maandamano polisiwanapiga lambo kabla yenu ili wadhibiti mtu mmojammoja, asasi ngapi zinajitokeza kings mkonoWote mmemsikia Ndugai alivyokuwa anaongea kama "Mungu". Hii yoye ni kwa sababu watawala wameshajiridhisha sisi watanzania hatuna cha kuwafanya..
Si mlisemaga na tuone kama watatuua wote?Ukiandamana hao madhalimu wanakutandika risasi kweli. Usidhani Polisi wa bongo wastaarabu kama wa Uingereza au nchi yoyote inayojitambua
Mjinga huwa hajui km ni mjinga mpaka anapoelimika ndio hujua kuwa alikuwa mjinga.Mimi nilikuwa siungi mkono maandamano.
Pia ni hatuburuzwi.
Mjinga huwa hajui km ni mjinga mpaka anapoelimika ndio hujua kuwa alikuwa mjinga.Mimi nilikuwa siungi mkono maandamano.
Pia ni hatuburuzwi.
Jinga kubwa wewe kutokuunga mkono mawazo ndio kuwa mjinga.Mjinga huwa hajui km ni mjinga mpaka anapoelimika ndio hujua kuwa alikuwa mjinga.
Hizo hela siko wapiUtaumiza kichwa ndugu. Just imagine Speaker alivokua akiongea leo!!! Kwa akili yako yule yupo kuilinda katiba kweli?! Kwa mtindo ule!?
Yaani mtu anaongea unaona kabisa hana hofu na chochote iwe Mungu au binaadam.
Mtu aletakiwa kua role model leo hii anahalalisha ubabe.
Aaah tafta pesa tu
Kwa kuwa umejawa na uwendawazimu na unafiki, hata wanao hakuna cha maana watakachokirithi toka kwako. Hao ndio wataishia kuwa wabwia unga au bangi.Uandamane ili watoto wako wapate haki ya kuwa mashoga?
Pole sana. Wapo walionyang'anywa moja kwa moja kama wewe, lakini pia sisi sote tunanyang'anywa kupitia kodi gandamizi na matumizi ya ovyo.Mimi ni mhanga katika hili la kutafuta hela na kunyang'anywa na serikali hii.
Comment ya mtu aliyekosa akili. Hata akina Nyerere wangekuwa na fikra za kijinga kiasi hiki, leo tungekuwa bado koloni la Mwingereza.Mzee tafta pesa watoto wale
Watz huwezi kutupeleka kwenye maandamano yanayotawanywa kwa risasi za moto, inatakiwa kipatikane kikundi cha uasi/kigaidi cha kuwashughulikia watawala jeuri, na wote waliofanikisha ushindi wa LUSHINDO, watz tuko tayari kukichangia hali na Mali, binafsi kila mwezi nitakuwa nachangia million moja!!
Wewe utakuwa mtu wa Tanga maana wao ndio takataka wa politics. Mawazo mfu kabisa kichwani mwako. As long as unakuka, basi hata wakikufanya lolote....... huna tatizoMzee tafta pesa watoto wale
Mimi kwa mbali nimelianza hilo. Kuna watu wanne walikuwa washangiliaji sana wa kufurahia uharamia katika uchaguzi ulioganyika, kila siku wamebaki kuombaomba, nimewawekea pamba sikio langu.Ni kweli mkuu. Niliwahi kushauri humu kuwa dawa ni kuacha kabisa ule mtindo wa kitanzania wa kubebana kila mtu ajisimamie maisha yake. Hakuna kuombana chumvi, kibaba, wala chochote. Mtu akipigika aachwe afe peke yake na wanaomuhusu. Kenya ukiwa kapuku unakufa njaa hakuna kubebana hovyo. Itafika mahali hadi kila mtu ahusishe machungu yake na watawala hawa fisi weusi.
Tutaelewana tu