Unasema enzi za giza kwani giza liliwahi kupungua Tanzania?enzi za giza
Hahahaahaaa akaumia mkonoHata alipopata ajali baada ya kulogwa kwao tulimhurumia sana
Amen ๐Ataanguka tena na itakuwa anguko la mwisho.
Nisiwe mnafiki sikuhuzunika.Kwa kuwa malipo ya dhulma ni hapa hapa duniani, basi namuomba Mungu wangu wa mbinguni afanye kila linalowezekana huyu Nape apate malipo yake.
Nape tulimpa huruma na upendo wetu wakati akitwezwa na kudhalilishwa enzi za giza lkn leo Nape anatulipa jeuri na kiburi? Nape ndiye wakuziba midomo waandishi na vyombo vya habari?
Nape ndiye wa kuanza kuwafanyia figisu wapinzani ili wasipinge uuzwaji wa bandari mwenye vyombo habari?
Siku hazigandi. Nina hakika Nape atalia na kusaga meno hapa hapa duniani.
Hayo yalikuwa matumizi mabaya ya huruma na upendo.Nape tulimpa huruma na upendo wetu
Na iwe hivyo,Mungu atakuwa ameamua na kutoa hukumu ya kudumu kwa huyu fedhuliAtaanguka tena na itakuwa anguko la mwisho.
Naomba hili dua lisiwe la kuku๐๐๐๐Kwa kuwa malipo ya dhulma ni hapa hapa duniani, basi namuomba Mungu wangu wa mbinguni afanye kila linalowezekana huyu Nape apate malipo yake.
Nape tulimpa huruma na upendo wetu wakati akitwezwa na kudhalilishwa enzi za giza lkn leo Nape anatulipa jeuri na kiburi? Nape ndiye wakuziba midomo waandishi na vyombo vya habari?
Nape ndiye wa kuanza kuwafanyia figisu wapinzani ili wasipinge uuzwaji wa bandari mwenye vyombo habari?
Siku hazigandi. Nina hakika Nape atalia na kusaga meno hapa hapa duniani.
Waliohuzunika ni wale wasiomjua tuKwa kuwa malipo ya dhulma ni hapa hapa duniani, basi namuomba Mungu wangu wa mbinguni afanye kila linalowezekana huyu Nape apate malipo yake.
Nape tulimpa huruma na upendo wetu wakati akitwezwa na kudhalilishwa enzi za giza lkn leo Nape anatulipa jeuri na kiburi? Nape ndiye wakuziba midomo waandishi na vyombo vya habari?
Nape ndiye wa kuanza kuwafanyia figisu wapinzani ili wasipinge uuzwaji wa bandari mwenye vyombo habari?
Siku hazigandi. Nina hakika Nape atalia na kusaga meno hapa hapa duniani.
Sijajua unamaanisha ushindi upi lakini Kwassi tunaoamini kifo pia Ni ishara ya ushindiHakuhitaji huruma wala upendo wenu mlishobokea ugomvi usiyowahusu, yeye Nape na wenzie wao washasema kuwa Mungu alishaingilia kati ugomvi wao na akaumaliza huo ugomvi na akina Nape wamepata ushindi na hadi sasa wanaufurahia huo ushindi.