Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
🤣🤣Watu wa lindi /mtwara hawanaga muamanaHata alipopata ajali baada ya kulogwa kwao tulimhurumia sana
Kifupi hawaaminiki
Kukusaliti ni dk sifuri
Kama harmonise alivyomsaliti dayamond
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Watu wa lindi /mtwara hawanaga muamanaHata alipopata ajali baada ya kulogwa kwao tulimhurumia sana
🤣🤣Mtumbo mkuubwaUkimuona amevaa ile miwani na mtumbo wake mkubwa utadhani msomi fulani ana akiili kumbe matope tupu kichwani...jamaa ni mwendo wa kubebwa tu toka enzi za UVCCM hadi sasa kazeeka!
🤣🤣🤣Albadir au?Naomba hili dua lisiwe la kuku🐔😂😂😂
Nape namfahamu tangu anasoma Nsumba sec ni kilanza,hazimo anapolojo tu na kulopokea wakubwa. Anabebwa na uzawa unajua marehemu baba yake.?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Albadir au?
Kwani wewe ni kundi moja na akina Nape? Maana Nape alisema Mungu uliamua ugomvi wao na kweli tukaona Nape karejea kwenye system na sasa watu humuona Nape ana dharau. Sasa wewe mkuu umeshinda nini?Sijajua unamaanisha ushindi upi lakini Kwassi tunaoamini kifo pia Ni ishara ya ushindi
SimjuiNape namfahamu tangu anasoma Nsumba sec ni kilanza,hazimo anapolojo tu na kusiya wakubwa. Anabebwa na uzawa unajua marehemu baba yake.?
Kumbe yule mwamba alikuwa sawaHata alipopata ajali baada ya kulogwa kwao tulimhurumia sana
Nimejiskia kumuombea Mh.waziri tajwa,Kwa kuwa malipo ya dhulma ni hapa hapa duniani, basi namuomba Mungu wangu wa mbinguni afanye kila linalowezekana huyu Nape apate malipo yake.
Nape tulimpa huruma na upendo wetu wakati akitwezwa na kudhalilishwa enzi za giza lkn leo Nape anatulipa jeuri na kiburi? Nape ndiye wakuziba midomo waandishi na vyombo vya habari?
Nape ndiye wa kuanza kuwafanyia figisu wapinzani ili wasipinge uuzwaji wa bandari mwenye vyombo habari?
Siku hazigandi. Nina hakika Nape atalia na kusaga meno hapa hapa duniani.