Watanzania tulihuzunika na Nape alipotolewa bastola hadharani lakini hivi sasa anatulipa jeuri na kiburi?

Watanzania tulihuzunika na Nape alipotolewa bastola hadharani lakini hivi sasa anatulipa jeuri na kiburi?

Ukimuona amevaa ile miwani na mtumbo wake mkubwa utadhani msomi fulani ana akiili kumbe matope tupu kichwani...jamaa ni mwendo wa kubebwa tu toka enzi za UVCCM hadi sasa kazeeka!
🤣🤣Mtumbo mkuubwa
Akili robo
 
Sijajua unamaanisha ushindi upi lakini Kwassi tunaoamini kifo pia Ni ishara ya ushindi
Kwani wewe ni kundi moja na akina Nape? Maana Nape alisema Mungu uliamua ugomvi wao na kweli tukaona Nape karejea kwenye system na sasa watu humuona Nape ana dharau. Sasa wewe mkuu umeshinda nini?
 
Kwa kuwa malipo ya dhulma ni hapa hapa duniani, basi namuomba Mungu wangu wa mbinguni afanye kila linalowezekana huyu Nape apate malipo yake.

Nape tulimpa huruma na upendo wetu wakati akitwezwa na kudhalilishwa enzi za giza lkn leo Nape anatulipa jeuri na kiburi? Nape ndiye wakuziba midomo waandishi na vyombo vya habari?

Nape ndiye wa kuanza kuwafanyia figisu wapinzani ili wasipinge uuzwaji wa bandari mwenye vyombo habari?

Siku hazigandi. Nina hakika Nape atalia na kusaga meno hapa hapa duniani.
Nimejiskia kumuombea Mh.waziri tajwa,

Baba katika jina la Yesu Kristo,
Namuombea kiongozi wetu huyu mpendwa, mwenye dhamana ya kusimamia uhuru wa habari, haki na usawa katika kutoa na kupata habari. Umjalie hekima na Busara ili aweze kutambua wajibu wake huu muhimu kwa watoa na wapokea habari. Huisha Roho na Moyo wa Kiburi na majivuno ndani yake na katika kutekeleza majukumu yake.
Msamehe makosa yake aliyotenda kwa maneno na matendo, Ee Mungu wa Rehema.

Ee Baba, Mungu wa Baraka na Neema, ummbariki na kumkumbusha kiongozi wetu huyu, ambae tunampenda sana, fedheha na mateso aliyopitia huko nyuma tukakulilia wewe Mungu pamoja nae Ee Baba, muepushe na roho ya ujeuri na ubishi unaosababisha vilio, maumivu, manung'uniko, laumu, na chuki dhidi yake kutoka kwa jamii ya wana habari na mawasilino anayoiongoza. Ee Mungu wa mbinguni muepushe kiongozi wetu huyu na haya yote ambayo ni chimbuko la anguko za tawala nyingi duniani, Amen.
 
Back
Top Bottom