Watanzania tulio wengi tunampenda Hayati Rais Magufuli, hamtafanikiwa kubadilisha ukweli huo kamwe!

Kweli wewe punguani, alikuwa anatuzamisha baharini! Mungu fundi. Toenu upumbavu wenu na marehemu wenu aliyekufa kwa kipindupindu. Mtu gani hata taarifa za ugonjwa hazikutolewa. Walimuheshimu kusema Covid, bado mnalalama. Sasa kwa taarifa yenu ni KIPINDUPINDU ndiyo chanzo cha kifo chake, sababu ya kula vyakula ovyo barabarani. Huku ameshika kuku anayekunyakunya yeye anakula mahindi.
 
We kahaba wa twita umeorodhesha umbea wako. Hakuna alichofeli hayati JPM wananchi wameshuhudia alichofanya kwa miaka mitano aliyoongoza. Unaleta ngojera za twita JF huku kuna watu wenye akili.
Nimecheka kwa nguvu, eti dhalimu hakuna alichofeli wananchi wameshuhidia. Kwani ni wapi wananchi waliachwa waseme kwa kujiamini kuwa wameridhika na kazi? Ilikuwa ni marufuku kukosoa ama kupinga zaidi ya kusifia, na ukikosoa unatekwa na kundi lake la watu wasiojulikana. Yule alikuwa ni shetani kwenye umbile la binadamu fullstop.
 
Ndugu, kitu ambacho naamini, dhambi waliyo itenda Kwa JPM itawatafuna na macho ya wengi yataona, na Kuna siku watajisema wazi
Umeshachimba kaburi lako pembeni yake pale chattle? Wenzio kina Makonda makaburi yao yako tayari, subiri nafasi zijae.
 
Lile kaburi pale pembeni ya la dhalimu ni la kwako au la Chalamila?
 
Kwa hiyo hayo aliyofanya Tanzania kwa miaka mitano hayati JPM hayaonekani? Watu hawakurusiwa kuyazungumzia?

Mmesahau mlipinga hata alipoanza ujenzi wa JNHP? Mbona unajisahaulisha?
 
Mkuu


Umeandika kwa uchungu sana ila nakushauri usiwatukane hao washukiwa yupo ambaye hana nasaba na yeyote awaye yote atawahudia wote kwa wakati mmoja, Watanzania waathirika katika hilo wako kimya sio kwamba ni waoga ila alama za nyakati zimewatonya kwamba adui halisi ni yupi na yuko radhi kufanya nini.

Machozi yenu yatafutwa lakini pia mtaingiwa na huruma kwanini yeye ambaye yuko amechukua hatua hizo.

Epuka kisasi ni hatarishi kwa uhai
 
Reactions: Ame
•Kuna watu wanakwenda ulaya Mara nyingi kuliko kwenda makwao kuwaona wazee wao!
•Kuna watu wanauchungu wa vifo vya wengine kuliko Vifo vya wazazi wao ndugu na Jamaa zao.
::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::::
•Mtu anashindwa kabisa kukumbuka kifo cha mjomba wake au mama yake au baba na kumfanyia ibada badala yake anakuwa na uchungu zaidi na kifo cha mtu baki,tena cha ajabu anakuwa mkali kweli.
 
Kwataarifa yako yeye alipata kura nyingi lakini wasaliti aliowakingia kifua ndiyo wengi wa mchongo...Kama asingejali yale aliyopanga akajiangalia yeye angebakia na kura zake ambazo zilikuwa zakutosha...Danganya wengine, sisi wengine tunakucheki tu kwa jicho la dharau kwakua hujui usemayo
 
Kwa hiyo hayo aliyofanya Tanzania kwa miaka mitano hayati JPM hayaonekani? Watu hawakurusiwa kuyazungumzia?

Mmesahau mlipinga hata alipoanza ujenzi wa JNHP? Mbona unajisahaulisha?

Kufanya hajafanya kwa mshahara wake bali kodi za wananchi, miundombinu hata wakoloni walijenga na bado tuliwakataa. Au wananchi hawakuona hizo reli na meli walizoweka wakoloni?
 

Alipata kura ambazo hata wapiga kura hawakufika! Uza ubongo huo mkuu maana unakaa nao kwa hasara.
 
Mtaani wengi tunamkubali, nashangaa mitandaoni kuna wanaomkosoa tuuu bila kuona zuri lake, anyways kuna kikundi kiliundwa kumponda
 
Hili bandiko lidumu milele
Ila nahisi wataliondoa muda si mrefu, ngoja idd ipite
 
•Hakuajiri
•Hakuongeza mishahara
•Alipora kwenye beareu de change
•Mauaji ya ajabu na watu kutupwa baharini
•Aliamrisha vijana kumtandika mbunge marisasi kama yote huku akizuia upepelezi na hata gharama za Tina na hata mafao ya hadhi yake
•Aliua demokrasia kwa 100%
•Alikuwa mbaguzi anayetenga baadhi ya maeneo ya taifa letu
•Alitudanganya watanzania KWAMBA tunajenga kwa fedha zetu wenyewe kumbe alikuwa akikopa sio soft loan Bali hard loan,mikopo ya ribs kubwa.
•Alikuwa hashauriki jambo ambalo ni la hatari Sana kwa taifa lolote.
•Kwa ubinafsi wake alitaka kuuwa umaarufu wa AICC,na hata kuiua Dar es salaam badala ya kutengene fair situation to both sides.
•Hasara kem kem kila upande kuanzia kwenye korosho mpaka ujenzi wa barabara zilizo duni (zinavimbaviba kila pahali)
•Ilikuwa likitokoe la hovyo ulikuwa ni mwiko kukosoa unaweza kupotea ghafla dadeki.
•Watu walinyanganywa fedha zao katika mabenki,walipona tu wale waliokuwa wanahifadhi fedha zao katika mabenki ya nje!
•Watu kwa mishtuko walikufa wengi kweli,wengi kukutwa wamejinyonga,wngine kwenye mito,nadhani matajiri wengi walikufa kipindi chake what scene behind no one know!
••Kwa kweli ilikuwa ni wakati wa kiza kinene mno kwa Tanzania hii,led by merciless leader ••
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…