Watanzania tulio wengi tunampenda Hayati Rais Magufuli, hamtafanikiwa kubadilisha ukweli huo kamwe!

Alipata kura ambazo hata wapiga kura hawakufika! Uza ubongo huo mkuu maana unakaa nao kwa hasara.
Wakwako ni hasara kwa watanzania maana umeushikisha kwa mabeberu na wewe unatembezwa kwa remote yao huku ukiuza ndugu zako bila aibu
 
Nendeni mkazikwe naye, nchi haitaongozwa kutoka kuzimu
 
Naam
 
Binafsi staki kuwa mnafiki,Magu aliniharibia maisha Kwa kiasi kikubwa sana........... kwahiyo sina Cha kumkumbuka sanaaaana.
Acha apumzike tu, nikama God alisikia maombi yangu maana sipati Picha mpaka leo angekuwepo madarakani.

Mambo yangu kama manne.......alivuruga siwezi yasema hapa akawapa ndugu zake
 
Wakwako ni hasara kwa watanzania maana umeushikisha kwa mabeberu na wewe unatembezwa kwa remote yao huku ukiuza ndugu zako bila aibu

Ww utakuwa ni mzee lazima, nyie ndio warahisi kutekwa na propaganda za kizee za ubeberu. Karne hii bado mnazungumzia mabeberu ambazo ni siasa za karne iliyopita! Kuna mzungu gani ana muda wa kupoteza kwa watu masikini?
 
Updates:
Watanzania waendelea kudai uchunguzi wa kina wa kifo cha Hayati Rais Magufuli👇


 
We could save his legacy, unfortunately he didn't understand the role of Strong opposition political parties.
Ila nasikia hii Bujora Gambush Empire is something to worry at.
 
So what?
 
Wameacha mambo ya msingi badala yake wanapambana na marehemu mwanzo mwisho.
 
Siasa ndivyo zilivyo, mbele yake nyuma yetu...
 
Kajichimbie Shimo karibu na Kaburi lake pale Chato ujizike
 
We could save his legacy, unfortunately he didn't understand the role of Strong opposition political parties.
Ila nasikia hii Bujora Gambush Empire is something to worry at.
Myths za kijinga kabisa hizi.Damu isiyo na hatia mliyofurahia kuimwaga inawatafuna,sasa mmeshaanza kuweweseka.
 
Kichaa kweli, unampendaje mzoga?
 
We kahaba wa twita umeorodhesha umbea wako. Hakuna alichofeli hayati JPM wananchi wameshuhudia alichofanya kwa miaka mitano aliyoongoza. Unaleta ngojera za twita JF huku kuna watu wenye akili.
Mlishauriwa kama mnampenda sana mkazikwe naye.Acha utukana matusi kama alivyokuwa kaifanya Kayafa ambaye alijisahau kufikia kujivika Umungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…