Watanzania tulio wengi tunampenda Hayati Rais Magufuli, hamtafanikiwa kubadilisha ukweli huo kamwe!

MISSION FAILED....!
1>Tanzania ya viwanda❌
2>Ajira kwa vijana❌
3>Lap top kila mwalimu❌
3>Million 50 kila kijiji❌
4>Kila nyumba bomba la maji❌
5>Mikopo elimu ya juu❌
6>Matibabu kwa wazee bila malipo❌
7>Kupandisha mishahara❌
8>Umeme kukatikakatika❌
9>Barabara za rami kila mtaa/kijiji❌
10>Elimu bure(madarasa,madawati)❌
11>Kuinua uchumi wa nchi na wananchi❌
12>Nchi kujiendesha bila wahisani❌
13>Mazingira rafiki kwa wawekezaji❌
14>Miradi ya ndani( tenda kwa wazawa)❌
15>Kupunguza matumizi ya serikali❌
16>Masikini kuishi kama matajiri na matajiri kuishi kama masikini❌❌❌
17>Ushirikiano na wafanya biashara❌
18>Kuheshimu katiba❌
19>Hela za makinikia( kila mtanzania noah)❌
20>Kubangua korosho kwa mabomu/meno❌
21>Kuua upinzani❌

Nikikumbuka hizi sound nachoka kabisaaaa!

Mpendeni ninyi
A blind man indeed.Yote hayo yangefanikiwaje bila yeye kumaliza muda wake na kuwa na continuity.Sina haja ya kutetea his legacy,even a normal man in the village can see.Ukimsikiliza Magufuli,ukiangalia body language yake na matendo yake,you see a new Tanzania.That is who he was.
 
1) Niliposikia kwa mara ya kwanza kwamba hii Sinema ya Royal Tour (ambayo Rais wetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni Main Actor and Tour Guide) ina assert kwamba kifo cha Hayati John Pombe Magufuli kimesababishwa na Covid,nilistuka na sikuamini masikio yangu!

2) Kwa maoni yangu hii inam-compromise sana Rais Samia ambaye ndiye aliyetutangazia kifo cha Hayati Magufuli na kutufahamisha kwamba kilichomuua Rais Hayati Magufuli ni Ugonjwa wa Moyo! Sasa haya ya COVID-19 yametoka wapi tena?!

3) Najiuliza
a) Hivi Rais Samia alikubalije kushiriki sinema inayopotosha taarifa ya serikali kuhusu jambo zito kama hili?!
b) Kwa nini hakudai hicho kipande kiondolewe?!!
4) Sitashangaa sana akitokea "mtetea chochote" akisema Rais Samia hakuiona script na kujiridhisha kwamba script ipo sahihi(if it is all acceptable) kabla ya uzinduzi wa movie huko Marekani! It would constitute a serious blunder. An act of gross incompetence on the part of presidential advisers (maana "Rais hakosei").
5) Kwa maoni yangu, huyu anayeongea kwenye hii script ni "Spin Master", na utetezi wake umekaa kipuuzi na hauna mashiko. Ashakum si matusi.
6) Iwapo anachosema "Spin Master" ndiyo hoja na majibu ya serikali (kwamba kilichosemwa kuhusu sababu ya kifo cha Magufuli kuwa ni COVID-19 ni kauli ya Wanaharakati (ambao wanatajwa kwa Majina)), mimi naomba kuuliza yafuatavyo:

7)Mbona sasa hawakusema (kwenye hiyo sinema ya Royal Tour) kwamba "kuna na Watanzania wengi wengine (na hata watu wa nje) ambao wanaamini Rais Magufuli kauawa?!

8) Ushahidi!
a) Rais Samia aliwahi kuwakemea kwa hasira wanaodai Hayati Rais Magufuli kauawa.
b) Rais Samia akasema wenye Ushahidi kwamba Hayati Rais Magufuli kauawa wampelekee.

9) Ushauri wa Bure.
Baada ya Sinema ya Royal Tour kulikoroga, ni wazi kwamba kumbe kweli kuna umuhimu wa kuunda Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Rais John Pombe Magufuli. Wadanganyika tunataka kujua kwa uhakika: Je, Rais Magufuli alikufa kwa Ugonjwa wa Moyo (ambao haukusababishwa na mkono wa Mtu), alikufa kwa COVID-19 au aliuwawa?! Na alikufa lini exactly?!
Naamini Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ataona umuhimu huu. Asipuuze hili, hasa ikizingatiwa kwamba yeye ndiye Main Actor and Main Guide in this movie that has come up with this act of not only gross disrespect for our late President but also explosive provocation directed towards our Nation and all Tanzanians!
Namshauri Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan awe mwangalifu sana kutambua kwamba kifo cha Magufuli kimeligawanya Taifa... na hivyo afanye kazi ya ziada kutuunganisha badala ya kutugawa na kuruhusu Watu (na hasa) Viongozi kutonesha vidonda kila kukicha!

10) Kauli tata zimeshamiri nchini na zinaleta taharuki kila kukicha!
Mfano wa Kauli Tata!
a) "...ile ilikuwa Nidhamu ya woga tu!"
b) "Nchi imeharibiwa sana hii!"
c) "Sasa tunairudisha Tanzania Duniani!"
d) N.k.

11) Kwa bahati mbaya sana, kauli zinazotolewa kila kukicha kumkandia na kuchafua jina la Hayati Rais Magufuli zinachochea wasiwasi wa baadhi ya Watanzania! Kama nilivyosema, zinaleta taharuki. Baadhi ya Wadanganyika tunajiuliza:
a) Kwa nini wenzie waliomo serikalini ndio wanaongoza mashambulizi?!
b) Kwa nini serikali ya Awamu ya 6 inaonekana ku-enjoy kuitupia madongo serikali ya awamu ya 5,yaani serikali ya Magufuli?Strangely, by more than 90%, serikali ya awamu ya 6 ndiyo serikali ya awamu ya 5!! Rais wa sasa ndiye alikuwa Makamu wa Rais Magufuli (na Mshauri wake Mkuu), Makamu wa Rais wa sasa ndiye alikuwa Waziri wa Fedha, Waziri Mkuu yuleyule, Mkuu wa Usalama wa Taifa yuleyule, IGP yuleyule, CDF yuleyule, Jaji Mkuu yuleyule n.k., n.k.
c) Kwa nini baadhi ya Viongozi wa serikali ya awamu ya 6 wanatoa matamshi ambayo yanaashiria kwamba kumbe (labda) walikuwa na Chuki kubwa kwa Rais, Mwenyekiti na Amiri Jeshi Mkuu wao, Rais Magufuli?!
d) Inakuwaje wale wote waliotofautiana na Rais Magufuli wamepandishwa vyeo na kauli zao na matendo yao yanaonyesha hawajutii walichofanya?! Ni kama vile wanatamba kwa "Ushujaa" wao wa kupambana na Rais Magufuli?! Wote tunazikumbuka zile audio clips...!!
e) Kwa nini baadhi ya viongozi wa "Matawi ya Juu" nchini wako bize kumbomoa Magufuli and his Legacy! Hivi hii well-coordinated attempt at "Character Assassination" ina lengo gani na faida gani?! Imesababishwa na nini?!
f) Kwa nini serikali na Chama hamumtetei Magufuli?! Saa zote ni kimya au mashambulizi tu! Kwa nini???
g) Hivi mmesahau kwamba mwenzenu amepumzika na hana tena Uwezo wa Kujitetea?
h) Hivi mmesahau kwamba Hayati Rais Magufuli ameacha Mke na Watoto ambao mnawaumiza sana kwa Mashambulizi yenu na/au kimya chenu? Kwa nini msiwaache walau wakauke machozi? Hivi mnasahau kwamba wao ni Bin Adam na wanawashangaa sana, to say the least?

12) Hivi ni sawa kweli kwamba Serikali, Chama Tawala, Wabunge, Mawaziri, Taasisi mbalimbali, Jumuia mbalimbali (mfano: UV-CCM, UWT, Wastaafu, n.k.)... wote mko kimya kabisa kila Hayati Magufuli anavyotukanwa na kudharirishwa?! Eti hata Viongozi wa Dini nao mko kimya! Mbona haiingii akilini?!

Unafiki huu, mmm...! Au labda ni ukondoo tu...?! Au ni guilty consciousness...?!

13) Sasa kama Magufuli alikuwa Rais mbaya kiasi hicho (which I don't believe anyway), inawezekanaje nyinyi washirika wake wote muwe wasafi kiasi hicho cha kuthubutu kumtupia mawe mazito hivyo Mwenzenu?!
a) Collective Responsibility iko wapi?!
b) Hivi nyie wengine mnaponaje?!
c) Hivi mnajua kwamba kwenye sheria za kimataifa iliwekwa precedent kwenye Nuremberg Trials (baada ya Vita Kuu ya Dunia)?! Kesi za Washirika wa Hitler...! Kwa kifupi, Mahakama ya Kimataifa iliamua kwamba Rais/Kiongozi Mkuu hawezi kuwa Shetani na Mawaziri/Wasaidizi wake wote wakawa Malaika...!! Never!
d) Mbona mnatufanya wadanganyika mafala?!
e) Mbona mnajichanganya hivyo?!

14) Narudia!
a) Wasiwasi na hasira za Wadanganyika zinasababishwa na mengi.
b) Mungu anayajua maovu yetu yote (sisi wote),huwezi kuficha,na hukumu zake ni za kweli.
c) Tusicheze na moto!

15) MUNGU IBARIKI TANZANIA!
Ndugu, kitu ambacho naamini, dhambi waliyo itenda Kwa JPM itawatafuna na macho ya wengi yataona, na Kuna siku watajisema wazi
 
Wewe ni mpumbavu sana na ninyi ndiyo mlionufaika katika utawala wake, waache watu waseme wachoke wenyewe. Mabaya yote yale hukuyaona mjinga wewe.
Walionufaika ndiyo hao hao bado wanaendelea kunufaika hata baada ya kumsaliti...Wanaoumia ni wale ambao walikubali kufunga mikanda ili nchi baadaye iwe ya manufaa kwa wote, kinachoumiza ni hata baada ya kukubali kuchumia juani (mateso yote yale hata ya kukosa demokrasia) project ika abort kabla ya matokeo, hasara mara mbili tumepata wengi wa sisi tunaoumia...
 
1) Niliposikia kwa mara ya kwanza kwamba hii Sinema ya Royal Tour (ambayo Rais wetu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ni Main Actor and Tour Guide) ina assert kwamba kifo cha Hayati John Pombe Magufuli kimesababishwa na Covid,nilistuka na sikuamini masikio yangu!

2) Kwa maoni yangu hii inam-compromise sana Rais Samia ambaye ndiye aliyetutangazia kifo cha Hayati Magufuli na kutufahamisha kwamba kilichomuua Rais Hayati Magufuli ni Ugonjwa wa Moyo! Sasa haya ya COVID-19 yametoka wapi tena?!

3) Najiuliza
a) Hivi Rais Samia alikubalije kushiriki sinema inayopotosha taarifa ya serikali kuhusu jambo zito kama hili?!
b) Kwa nini hakudai hicho kipande kiondolewe?!!
4) Sitashangaa sana akitokea "mtetea chochote" akisema Rais Samia hakuiona script na kujiridhisha kwamba script ipo sahihi(if it is all acceptable) kabla ya uzinduzi wa movie huko Marekani! It would constitute a serious blunder. An act of gross incompetence on the part of presidential advisers (maana "Rais hakosei").
5) Kwa maoni yangu, huyu anayeongea kwenye hii script ni "Spin Master", na utetezi wake umekaa kipuuzi na hauna mashiko. Ashakum si matusi.
6) Iwapo anachosema "Spin Master" ndiyo hoja na majibu ya serikali (kwamba kilichosemwa kuhusu sababu ya kifo cha Magufuli kuwa ni COVID-19 ni kauli ya Wanaharakati (ambao wanatajwa kwa Majina)), mimi naomba kuuliza yafuatavyo:

7)Mbona sasa hawakusema (kwenye hiyo sinema ya Royal Tour) kwamba "kuna na Watanzania wengi wengine (na hata watu wa nje) ambao wanaamini Rais Magufuli kauawa?!

8) Ushahidi!
a) Rais Samia aliwahi kuwakemea kwa hasira wanaodai Hayati Rais Magufuli kauawa.
b) Rais Samia akasema wenye Ushahidi kwamba Hayati Rais Magufuli kauawa wampelekee.

9) Ushauri wa Bure.
Baada ya Sinema ya Royal Tour kulikoroga, ni wazi kwamba kumbe kweli kuna umuhimu wa kuunda Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Rais John Pombe Magufuli. Wadanganyika tunataka kujua kwa uhakika: Je, Rais Magufuli alikufa kwa Ugonjwa wa Moyo (ambao haukusababishwa na mkono wa Mtu), alikufa kwa COVID-19 au aliuwawa?! Na alikufa lini exactly?!
Naamini Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ataona umuhimu huu. Asipuuze hili, hasa ikizingatiwa kwamba yeye ndiye Main Actor and Main Guide in this movie that has come up with this act of not only gross disrespect for our late President but also explosive provocation directed towards our Nation and all Tanzanians!
Namshauri Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan awe mwangalifu sana kutambua kwamba kifo cha Magufuli kimeligawanya Taifa... na hivyo afanye kazi ya ziada kutuunganisha badala ya kutugawa na kuruhusu Watu (na hasa) Viongozi kutonesha vidonda kila kukicha!

10) Kauli tata zimeshamiri nchini na zinaleta taharuki kila kukicha!
Mfano wa Kauli Tata!
a) "...ile ilikuwa Nidhamu ya woga tu!"
b) "Nchi imeharibiwa sana hii!"
c) "Sasa tunairudisha Tanzania Duniani!"
d) N.k.

11) Kwa bahati mbaya sana, kauli zinazotolewa kila kukicha kumkandia na kuchafua jina la Hayati Rais Magufuli zinachochea wasiwasi wa baadhi ya Watanzania! Kama nilivyosema, zinaleta taharuki. Baadhi ya Wadanganyika tunajiuliza:
a) Kwa nini wenzie waliomo serikalini ndio wanaongoza mashambulizi?!
b) Kwa nini serikali ya Awamu ya 6 inaonekana ku-enjoy kuitupia madongo serikali ya awamu ya 5,yaani serikali ya Magufuli?Strangely, by more than 90%, serikali ya awamu ya 6 ndiyo serikali ya awamu ya 5!! Rais wa sasa ndiye alikuwa Makamu wa Rais Magufuli (na Mshauri wake Mkuu), Makamu wa Rais wa sasa ndiye alikuwa Waziri wa Fedha, Waziri Mkuu yuleyule, Mkuu wa Usalama wa Taifa yuleyule, IGP yuleyule, CDF yuleyule, Jaji Mkuu yuleyule n.k., n.k.
c) Kwa nini baadhi ya Viongozi wa serikali ya awamu ya 6 wanatoa matamshi ambayo yanaashiria kwamba kumbe (labda) walikuwa na Chuki kubwa kwa Rais, Mwenyekiti na Amiri Jeshi Mkuu wao, Rais Magufuli?!
d) Inakuwaje wale wote waliotofautiana na Rais Magufuli wamepandishwa vyeo na kauli zao na matendo yao yanaonyesha hawajutii walichofanya?! Ni kama vile wanatamba kwa "Ushujaa" wao wa kupambana na Rais Magufuli?! Wote tunazikumbuka zile audio clips...!!
e) Kwa nini baadhi ya viongozi wa "Matawi ya Juu" nchini wako bize kumbomoa Magufuli and his Legacy! Hivi hii well-coordinated attempt at "Character Assassination" ina lengo gani na faida gani?! Imesababishwa na nini?!
f) Kwa nini serikali na Chama hamumtetei Magufuli?! Saa zote ni kimya au mashambulizi tu! Kwa nini???
g) Hivi mmesahau kwamba mwenzenu amepumzika na hana tena Uwezo wa Kujitetea?
h) Hivi mmesahau kwamba Hayati Rais Magufuli ameacha Mke na Watoto ambao mnawaumiza sana kwa Mashambulizi yenu na/au kimya chenu? Kwa nini msiwaache walau wakauke machozi? Hivi mnasahau kwamba wao ni Bin Adam na wanawashangaa sana, to say the least?

12) Hivi ni sawa kweli kwamba Serikali, Chama Tawala, Wabunge, Mawaziri, Taasisi mbalimbali, Jumuia mbalimbali (mfano: UV-CCM, UWT, Wastaafu, n.k.)... wote mko kimya kabisa kila Hayati Magufuli anavyotukanwa na kudharirishwa?! Eti hata Viongozi wa Dini nao mko kimya! Mbona haiingii akilini?!

Unafiki huu, mmm...! Au labda ni ukondoo tu...?! Au ni guilty consciousness...?!

13) Sasa kama Magufuli alikuwa Rais mbaya kiasi hicho (which I don't believe anyway), inawezekanaje nyinyi washirika wake wote muwe wasafi kiasi hicho cha kuthubutu kumtupia mawe mazito hivyo Mwenzenu?!
a) Collective Responsibility iko wapi?!
b) Hivi nyie wengine mnaponaje?!
c) Hivi mnajua kwamba kwenye sheria za kimataifa iliwekwa precedent kwenye Nuremberg Trials (baada ya Vita Kuu ya Dunia)?! Kesi za Washirika wa Hitler...! Kwa kifupi, Mahakama ya Kimataifa iliamua kwamba Rais/Kiongozi Mkuu hawezi kuwa Shetani na Mawaziri/Wasaidizi wake wote wakawa Malaika...!! Never!
d) Mbona mnatufanya wadanganyika mafala?!
e) Mbona mnajichanganya hivyo?!

14) Narudia!
a) Wasiwasi na hasira za Wadanganyika zinasababishwa na mengi.
b) Mungu anayajua maovu yetu yote (sisi wote),huwezi kuficha,na hukumu zake ni za kweli.
c) Tusicheze na moto!

15) MUNGU IBARIKI TANZANIA!
Marehemu ashatangulia mbele ya haki (my take) kufahamu chanzo cha kifo chake hakusaidii kumrudisha duniani,wala maneno ya watu hayawezi kubadilisha mema aliyoyafanya,ila pia napenda kuwatahadharisha enyi wapenzi wa marehemu,siyo mambo yote aliyofanya enzi za uhai wake yalikuwa mema,kwa hiyo msipanic watu wanapolalika.
 
Mungu atawaumbua taratibu.
Tena mmoja baada ya mwingine.
Tunawaona na tunawaelewa.

Waligeuza kikao cha mkutano mkuu maalumu wa CCM kuwa Sherehe ya Ushindi.

Wananadhani watanzania wote tumeridhika na kilichotokea na kinachoendelea.

Tatizo ni kwamba kila mlamba asali anaishia kusikiliza feedback kutoka kwa CHAWA wake.

Lakini Mungu sio wa Msoga team pekee.

Mungu pia ni wa wafiwa wote Ulimwenguni.

Iko siku yao wale team Janaba na majibu ni hapa hapa Duniani.
 
Back
Top Bottom