Watanzania tumejifunza nini kupigwa Risasi na kujeruhiwa kwa Donald Trump?

Ambacho hujajifunza we chawa ni kwamba the assassin's have been assasinated and injured. Wakati huku waliompiga risasi TL wanakula nyongeza za mishahara na vyeo
 
Ambacho hujajifunza we chawa ni kwamba the assassin's have been assasinated and injured. Wakati huku waliompiga risasi TL wanakula nyongeza za mishahara na vyeo
Unawafahamu? Kama unawafahamu kwanini usitoe ushahidi wako?
 
Miaka zaidi ya 60 ya Uhuru bado mnajifunza tu
Wengine stendi ya bus hakuna vyoo wanajisaidia kwenye ndoo, bado mnajufunza tu
Poleni sana endelea kujifunza
Kwani hivyo vyoo huwa unaingia bure? Si unalipia? Kama unalipia kwanini usiende kwenye vyoo vingine vya kulipia?
 
Mheshimiwa Rais alitoa pole na hata Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hasssan ambaye kwa wakati huo alikuwa ni makamu wa Rais alifika mpaka Nchini kenya hospitali aliyokuwa amelazwa kumjulia hali
Mh. Mama saw aliend
Aliend kwa iman yake binafs
Mbona hakugharamiw matibabu yake kam kweli mzee baba alitoa pole , acha unafiki man
 
Wewe zwazwa umezunguka kote shida yako ni kuishambulia Chadema,ndiyo maana huteuliwi kwa vile huna akili.
 
CCM ni chama safi na ndio maana kinaendelea kuaminika na kuaminiwa na watanzania kuliongoza Taifa letu. ni chama kilichobeba maono ya kulipeleka mbele Taifa letu na kumfanya kila mtanzania mwenye bidii ya kazi na uchapa kazi kutimiza ndoto zake.CCM ndio nuru na Taa ya Taifa letu.ikizima ni sawa na kuliingiza Taifa gizani na hatarini .
 
Mh. Mama saw aliend
Aliend kwa iman yake binafs
Mbona hakugharamiw matibabu yake kam kweli mzee baba alitoa pole , acha unafiki man
Lissu alichangiwa pesa hadi na wabunge wa CCM kule Bungeni.
 
Hiyo ilikuwa MBINU ya Trump na Chama chake kupata mvuto. Haiwezekani risasi iparaze sikio na shavu, MBINU ya kumpunguza Biden makali ya kampeni. Trump mwenyewe alikodi wahuni wakaingia Ikulu kwa kuruka ukuta, Trump hayuko sawa kichwani.
 
Tuviache vyombo vya ulinzi na usalama vya Marekani vifanye uchunguzi na kutoa ripoti rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…