Watanzania tumejifunza nini kupigwa Risasi na kujeruhiwa kwa Donald Trump?

Aliyeshoot tayari kapatikana, waliomshoot Lissu vipi? Au sio miongoni mwa yakujifunza?
 
Soma vizuri historia ya marekani, Kennedy hakuwa mwanasiasa au rais wa mwisho kupigwa risasi.
 
  • ifahamike FBI ndo alomjeruhi Trump
  • Alikuwa kwenye paa la nyumba
  • Kipindi cha kampeni ulinzi uimarishwe kwa wagombea hasa wenye nguvu
  • Intelligence unit isicreen mara kwa mara mawasiliano ya walinzi wanaokuwa na silaha
  • Vibali viishie saa 18
 
Tunajifunza kuwa maharamia wapo pote duniani na kisababishi cha haya kinatoka nje na ndani ya amerika ,kisa msimami wa mzee Trumpet dhidi ya visukulukwinyo ulaya na amerika juu ya mzozo wa nato na urussi,pia Luca usitafite sababu za kuzidi kuwakandamiza wenye mawazo mbadala kwa watanzania kwa kisingizio cha yaliyotokea kwa Mzee Trumpet 🫠.Na huyu lazima azibue masikio ya visirani wote ndani ya Amerika ulaya na hata bongo🤣
 
But humu nako kuna tatizo la watu kutozuia hasira na hisia zao.
  • Bila kujali itikadi za vyama mwenzako akifanyiwa jambo baya usifurahie - laani
  • Wote CCM kwa CDM tujifunze kuwa wastaarabu
  • Wanaotugombanisha hawatumii kuni, hawajui maduka ya mchele, hawajui bei ya petrol wala ada za shule.
 
Kwani hivyo vyoo huwa unaingia bure? Si unalipia? Kama unalipia kwanini usiende kwenye vyoo vingine vya kulipia?
Nilipo hatulipii vyoo wewe
Ni shit hole tu ndio mnalipia

Hilo jukumu la serikali kwani watu wanalipa kodi
Wawekeeni vyoo au kujenga ni 40m kwa shimo moja kama mlivyozoea kipiga

Sasa watalipia nini wakati vyoo hakuna? Hivi unasoma habari za nchi kweli?
Niko nje na ninajua kila kinachoendelea huko
 
Ulichokuwa unataka tu kuhalalisha vyama vya upinzani kunyimwa vibali vya mikutano...ingekuwa na CCM kinanyimwa vibali kwa rate hii hii ya upinxani unavyonyimwa tungeelewa kweli intelijensia inafanya kazi...lakini tuwe wakweli Tanzania hakuna intwligensia yeyote, ni mbwembwe tu, watu wakiamua ni rahisi saaana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…