Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa maoni yako.Wewe baba yako bora angefuga nguruwe kuliko kukupeleka shule. Hata kuzaliwa kwako tu ni hasara.
Soma vizuri historia ya marekani, Kennedy hakuwa mwanasiasa au rais wa mwisho kupigwa risasi.Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3041884View attachment 3041885
Sote naamini tunaendelea kufuatilia taarifa ambayo imeisimamisha Dunia nzima na kuitikisa pamoja na kuteka vyombo vyote vya habari na mitandao ya kijamii ulimwenguni kwote kunakotokana na kupigwa risasi na kujeruhiwa kwa Donald Trump Rais mstaafu wa Marekani na mgombea Urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican alipokuwa akihutubia jukwaani huko Pennsylvania.
Taarifa za kupigwa kwa Donald Trump zimewashitua sana wamarekani na kuwaunganisha wanasiasa wote wakubwa Nchini humo wale wa Democratic na Republican,katika kulaani tukio hilo na kusema kuwa Marekani siyo mahali pa siasa za vurugu .Rais Bideni pia amelaani sana tukio hilo la kupigwa risasi kwa Mpinzani wake huyo Mkuu.
Tukio hilo limewakumbusha mbali sana hasa kwa kuzingatia kuwa wamarekani wamewahi kupoteza Marais wao baada ya kupigwa Risasi.na kwa mara ya Mwisho na kwa John F Kennedy aliyepigwa risasi miaka ya 60.
Sasa nataka kuwaulizeni Watanzania mmejifunza nini kupitia tukiona hilo? Mimi nimejifunza kuwa matukio ya aina hiyo yanaweza kutokea mahali popote pale na nchi yoyote ile bila kujali ni nchi maskini au nchi tajiri ,linaweza kutokea hata kama nchi ina teknolojia ya kiwango cha juu au intelijensia ya kiwango cha kimataifa.
Embu fikiria Marekani yenye kila aina ya teknolojia ya kisasa,zana za kisasa, miundombinu bora,ujuzi na maarifa ya kila kitu lakini walishindwa kung'amua tukio hilo na kulizima kabla ya risasi kumpata mgombea Urais jukwaani.
Nimejifunza pia uharaka wa vyombo vyake vya ulinzi katika kumuokoa mtu kutoka eneo la tukio na kumkabili adui,maana adui aliuwawa palepale.lakini ukiangalia namna walinzi walivyokimbia haraka kwenda kumzingira Trump pale jukwaani huku wengine wakiendelea kulizinguka jukwaa zidi ya adui ,namna walivyokuwa wakimtoa jukwaani na kumkimbiza haraka kwenye gari.
Umahiri wa kumtungua adui bila kupiga risasi hovyo hovyo ambazo pengine zingeleta madhara kwa wengine,lakini pia umakini wa kutumia Risasi na slaha zao.maana walinzi wale walijibu mapigo kwa kumuelekea adui na siyo kupiga risasi zisizo na maana au kuleta taharuki zaidi.
Lakini pia namna watu waliokuwa mkutanoni walivyokaa chini kwa uharaka sana kujihami.hapa ni somo zuri sana maana kama wangeamua kukimbia huku na huku pengine kungetokea maafa au vifo vingi kutokana na kukanyagana .lakini wamarekani wale nimeona wote walilala chini kwa haraka sana huku vyombo vyao vikimkabili adui kwa uhodari mkubwa sana.
Lakini pia watanzania hususani wanasiasa tuwe wasikivu sana pale vyombo vya ulinzi hususani jeshi la polisi linapowanyima kibali chama kufanya mkutano sehemu fulani ,kwa sababu ya taarifa za kiintelijensia kwa sababu za kiusalama.
kwa sababu nimekuwa nikiona baadhi ya vyama hususani CHADEMA wakinyimwa kibali kwa sababu ya intelijensia au taarifa kuonyesha viashiria vya uvunjifu wa amani au hali kutokuwa shwari au kutokea kwa uvunjifu wa amani . CHADEMA huanza kuleta kukejeli au kutoa lugha za dharau au ujuaji.
Mwisho tuache kuitupia lawama serikali kwa kila jambo kuwa imehusika.hii ni kwakuwa unakuta mtu kapotea au kakutwa na majereha halafu watu kwa mihemuko wanaanza kuropoka kuwa serikali imehusika.jambo ambalo unakuta hawana ushahidi wala uthibitisho wa aina yoyote ile ambao unaweza kutolewa mahakamani.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwani wapi nimekwambia nasubiri uteuzi hapa.Kwa uandishi huu utasubiri sana
Nimesema kuuwawa.mfano hata regani naye alipigwaSoma vizuri historia ya marekani, Kennedy hakuwa mwanasiasa au rais wa mwisho kupigwa risasi.
Unatia huruma sana kujipendekeza kote huku lakini huonekani lazima utakuwa na kimavi si bure.Kwani wapi nimekwambia nasubiri uteuzi hapa.
Tunajifunza kuwa maharamia wapo pote duniani na kisababishi cha haya kinatoka nje na ndani ya amerika ,kisa msimami wa mzee Trumpet dhidi ya visukulukwinyo ulaya na amerika juu ya mzozo wa nato na urussi,pia Luca usitafite sababu za kuzidi kuwakandamiza wenye mawazo mbadala kwa watanzania kwa kisingizio cha yaliyotokea kwa Mzee Trumpet 🫠.Na huyu lazima azibue masikio ya visirani wote ndani ya Amerika ulaya na hata bongo🤣Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3041884View attachment 3041885
Sote naamini tunaendelea kufuatilia taarifa ambayo imeisimamisha Dunia nzima na kuitikisa pamoja na kuteka vyombo vyote vya habari na mitandao ya kijamii ulimwenguni kwote kunakotokana na kupigwa risasi na kujeruhiwa kwa Donald Trump Rais mstaafu wa Marekani na mgombea Urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican alipokuwa akihutubia jukwaani huko Pennsylvania.
Taarifa za kupigwa kwa Donald Trump zimewashitua sana wamarekani na kuwaunganisha wanasiasa wote wakubwa Nchini humo wale wa Democratic na Republican,katika kulaani tukio hilo na kusema kuwa Marekani siyo mahali pa siasa za vurugu .Rais Bideni pia amelaani sana tukio hilo la kupigwa risasi kwa Mpinzani wake huyo Mkuu.
Tukio hilo limewakumbusha mbali sana hasa kwa kuzingatia kuwa wamarekani wamewahi kupoteza Marais wao baada ya kupigwa Risasi.na kwa mara ya Mwisho na kwa John F Kennedy aliyepigwa risasi miaka ya 60.
Sasa nataka kuwaulizeni Watanzania mmejifunza nini kupitia tukiona hilo? Mimi nimejifunza kuwa matukio ya aina hiyo yanaweza kutokea mahali popote pale na nchi yoyote ile bila kujali ni nchi maskini au nchi tajiri ,linaweza kutokea hata kama nchi ina teknolojia ya kiwango cha juu au intelijensia ya kiwango cha kimataifa.
Embu fikiria Marekani yenye kila aina ya teknolojia ya kisasa,zana za kisasa, miundombinu bora,ujuzi na maarifa ya kila kitu lakini walishindwa kung'amua tukio hilo na kulizima kabla ya risasi kumpata mgombea Urais jukwaani.
Nimejifunza pia uharaka wa vyombo vyake vya ulinzi katika kumuokoa mtu kutoka eneo la tukio na kumkabili adui,maana adui aliuwawa palepale.lakini ukiangalia namna walinzi walivyokimbia haraka kwenda kumzingira Trump pale jukwaani huku wengine wakiendelea kulizinguka jukwaa zidi ya adui ,namna walivyokuwa wakimtoa jukwaani na kumkimbiza haraka kwenye gari.
Umahiri wa kumtungua adui bila kupiga risasi hovyo hovyo ambazo pengine zingeleta madhara kwa wengine,lakini pia umakini wa kutumia Risasi na slaha zao.maana walinzi wale walijibu mapigo kwa kumuelekea adui na siyo kupiga risasi zisizo na maana au kuleta taharuki zaidi.
Lakini pia namna watu waliokuwa mkutanoni walivyokaa chini kwa uharaka sana kujihami.hapa ni somo zuri sana maana kama wangeamua kukimbia huku na huku pengine kungetokea maafa au vifo vingi kutokana na kukanyagana .lakini wamarekani wale nimeona wote walilala chini kwa haraka sana huku vyombo vyao vikimkabili adui kwa uhodari mkubwa sana.
Lakini pia watanzania hususani wanasiasa tuwe wasikivu sana pale vyombo vya ulinzi hususani jeshi la polisi linapowanyima kibali chama kufanya mkutano sehemu fulani ,kwa sababu ya taarifa za kiintelijensia kwa sababu za kiusalama.
kwa sababu nimekuwa nikiona baadhi ya vyama hususani CHADEMA wakinyimwa kibali kwa sababu ya intelijensia au taarifa kuonyesha viashiria vya uvunjifu wa amani au hali kutokuwa shwari au kutokea kwa uvunjifu wa amani . CHADEMA huanza kuleta kukejeli au kutoa lugha za dharau au ujuaji.
Mwisho tuache kuitupia lawama serikali kwa kila jambo kuwa imehusika.hii ni kwakuwa unakuta mtu kapotea au kakutwa na majereha halafu watu kwa mihemuko wanaanza kuropoka kuwa serikali imehusika.jambo ambalo unakuta hawana ushahidi wala uthibitisho wa aina yoyote ile ambao unaweza kutolewa mahakamani.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huyo bora babake angemtoa ndagu apate hela kuliko huu upuuzi anaofanya huku jf.wee jamáa kichwani unamakamasi tuu🤣🤣🤣
Wewe hunaga akili kabisa.Huyo bora babake angemtoa ndagu apate hela kuliko huu upuuzi anaofanya huku jf.
Nani sasa jamaa wamejaamo humuwee jamáa kichwani unamakamasi tuu🤣🤣🤣
Nilipo hatulipii vyoo weweKwani hivyo vyoo huwa unaingia bure? Si unalipia? Kama unalipia kwanini usiende kwenye vyoo vingine vya kulipia?
Sawa, kwahiyo Trump ameuawa! Kukosea jambo si kosa.Nimesema kuuwawa.mfano hata regani naye alipigwa
"kuuwawa", KUUAWA neno sahihi.
Ulichokuwa unataka tu kuhalalisha vyama vya upinzani kunyimwa vibali vya mikutano...ingekuwa na CCM kinanyimwa vibali kwa rate hii hii ya upinxani unavyonyimwa tungeelewa kweli intelijensia inafanya kazi...lakini tuwe wakweli Tanzania hakuna intwligensia yeyote, ni mbwembwe tu, watu wakiamua ni rahisi saaanaNdugu zangu Watanzania,View attachment 3041884View attachment 3041885
Sote naamini tunaendelea kufuatilia taarifa ambayo imeisimamisha Dunia nzima na kuitikisa pamoja na kuteka vyombo vyote vya habari na mitandao ya kijamii ulimwenguni kwote kunakotokana na kupigwa risasi na kujeruhiwa kwa Donald Trump Rais mstaafu wa Marekani na mgombea Urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Republican alipokuwa akihutubia jukwaani huko Pennsylvania.
Taarifa za kupigwa kwa Donald Trump zimewashitua sana wamarekani na kuwaunganisha wanasiasa wote wakubwa Nchini humo wale wa Democratic na Republican,katika kulaani tukio hilo na kusema kuwa Marekani siyo mahali pa siasa za vurugu .Rais Bideni pia amelaani sana tukio hilo la kupigwa risasi kwa Mpinzani wake huyo Mkuu.
Tukio hilo limewakumbusha mbali sana hasa kwa kuzingatia kuwa wamarekani wamewahi kupoteza Marais wao baada ya kupigwa Risasi.na kwa mara ya Mwisho na kwa John F Kennedy aliyepigwa risasi miaka ya 60.
Sasa nataka kuwaulizeni Watanzania mmejifunza nini kupitia tukiona hilo? Mimi nimejifunza kuwa matukio ya aina hiyo yanaweza kutokea mahali popote pale na nchi yoyote ile bila kujali ni nchi maskini au nchi tajiri ,linaweza kutokea hata kama nchi ina teknolojia ya kiwango cha juu au intelijensia ya kiwango cha kimataifa.
Embu fikiria Marekani yenye kila aina ya teknolojia ya kisasa,zana za kisasa, miundombinu bora,ujuzi na maarifa ya kila kitu lakini walishindwa kung'amua tukio hilo na kulizima kabla ya risasi kumpata mgombea Urais jukwaani.
Nimejifunza pia uharaka wa vyombo vyake vya ulinzi katika kumuokoa mtu kutoka eneo la tukio na kumkabili adui,maana adui aliuwawa palepale.lakini ukiangalia namna walinzi walivyokimbia haraka kwenda kumzingira Trump pale jukwaani huku wengine wakiendelea kulizinguka jukwaa zidi ya adui ,namna walivyokuwa wakimtoa jukwaani na kumkimbiza haraka kwenye gari.
Umahiri wa kumtungua adui bila kupiga risasi hovyo hovyo ambazo pengine zingeleta madhara kwa wengine,lakini pia umakini wa kutumia Risasi na slaha zao.maana walinzi wale walijibu mapigo kwa kumuelekea adui na siyo kupiga risasi zisizo na maana au kuleta taharuki zaidi.
Lakini pia namna watu waliokuwa mkutanoni walivyokaa chini kwa uharaka sana kujihami.hapa ni somo zuri sana maana kama wangeamua kukimbia huku na huku pengine kungetokea maafa au vifo vingi kutokana na kukanyagana .lakini wamarekani wale nimeona wote walilala chini kwa haraka sana huku vyombo vyao vikimkabili adui kwa uhodari mkubwa sana.
Lakini pia watanzania hususani wanasiasa tuwe wasikivu sana pale vyombo vya ulinzi hususani jeshi la polisi linapowanyima kibali chama kufanya mkutano sehemu fulani ,kwa sababu ya taarifa za kiintelijensia kwa sababu za kiusalama.
kwa sababu nimekuwa nikiona baadhi ya vyama hususani CHADEMA wakinyimwa kibali kwa sababu ya intelijensia au taarifa kuonyesha viashiria vya uvunjifu wa amani au hali kutokuwa shwari au kutokea kwa uvunjifu wa amani . CHADEMA huanza kuleta kukejeli au kutoa lugha za dharau au ujuaji.
Mwisho tuache kuitupia lawama serikali kwa kila jambo kuwa imehusika.hii ni kwakuwa unakuta mtu kapotea au kakutwa na majereha halafu watu kwa mihemuko wanaanza kuropoka kuwa serikali imehusika.jambo ambalo unakuta hawana ushahidi wala uthibitisho wa aina yoyote ile ambao unaweza kutolewa mahakamani.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe endelea tu kuidhalilisha familia yako itafika wakati wamechoka ndiyo watakaa kikao wakutoe ndagu waondokane na umasikiniWewe hunaga akili kabisa.
Luka mtumshambaaaaNani sasa jamaa wamejaamo humu