1. Umuhimu wa elimu na sio elimu tu bali elimu maanishi
Sio mtu unajisifia kuwa na degree 5 za vitu tofauti tofauti na hakuna hata moja uliyo itumia ipasavyo
Kuna msemo unasema "a master of everything is a master of none"
2. Mtu ana specialize kwenye kitu kimoja tu sio bachelor ya engineering, masters ya business na PhD ya international relation huo ni upuuzi ina maana hujui nn unataka
3. Literacy rate ni 98% yaani watu wanajua kusoma na kuandika. Sio mtu anadanganywa na miujiza ya uongo na kifala anaamini tu. ELIMU ELIMU ELIMU
4. Mjomba huko hakuna degree za heshima za Akina Musukuma and Co. Piga kitabu your excellence itakutambulisha
4. Utengenezaji wa drones na makombora n.k ni homework za vijana wa chuo, huku mtu anamaliza chuo hata kuandika proposal ya mradi hajui basi tusiende mbali hata kuandaa cv au official letter hajui
5. Kule ile loyalty ya viongozi ni top notch huku tunashindana kiongozi gani ana msafara mkubwa na nani anapendwa, mtu akishangiliwa basi mnanuna
6. Ushauri huku ubunge, uwaziri n.k uanzie masters na PhD sio tunajaza watu hata sheria ndogo ndogo hawajui wao wanapenda umbea tu na kuchongeana