Watanzania tumejifunza nini kwenye vita ya Iran na Israel

Kaa chonjo.Unatekwa siyo muda mrefu.
 
Tukivamiwa na nchi yoyote tusifyate mkia, wote tuchukuwe silaha na kumkabili adui kwa hali na mali.....
Ila uzalendo huo waja kama viongozi wa nchi wanajali raia wake, raia anapata haki zake, hauliwi, hateswi, hatekwi, hanyanyaswi sababu katoka maoni tofauti na viongozi, viongozi siyo mafisadi, wezi, waroho, wanajali matumbo yao na familia zao tu...
 
Hapo hoja namba 6 umerudi mulemule ulikokukataa. Umejifunga tiari

Usemacho ni kwel mkuu, elim ya huku nikujazana tope tu.

Mtu anamadgree ila anapelekeshwa kuamka mapema na akipata dharura ruhusa aombe.

Ilitakiwa wasomi wawe chachu ya maendeleo africa angarau hata kweny kilimo tu na madin tukajipatia faida kwa wabara wengne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…