KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Watanzania tumeshuhudia kwa mara ya pili Urais ukipingwa Mahakani kwa majirani zetu Kenya. je ni mfumo unaotufaa Tanzania?
Je ,Tanzania inatupasa kuwa na mfumo kama wa majirani zetu? au sisi twende mbele kabisa,kuwepo na chombo kingine zaidi ya Suprime court,?ambacho kinaweza kutoa maamzi zaidi?
Maana kwa majirani hakuna chombo kingine cha kukata rufaa endapo unaona Suprime court aijakutendea haki!.
Mfano ni wajuzi Bwana Raila Odinga alikuwa na mapingamizi nane (8 )na katika hayo kulikuwa kuna vidhibiti vya uingiliaji wa matokeo uchaguzi na mahesabu kwa kutokulingana, je kungekuwa na na chombo kingine cha kukata Rufaa siangeweza kusikilizwa hoja zake?? kuliko zilivyotupiliwa mbali na jaji mkuu.
Maana kwa jopo lile ni dhahiri linaweza kununulika na haki ikapotea. Hili kuzuia hiyo nini kifanyike kusiwe na sintofahamu kama ilivyokuja ya Bwana raila Odinga?
Kwa kutazama katika mfumo wa majirani zetu kuna mapungufu mengi katika chombo cha Suprime court lazima wakae watafute mwarobaini vinginevyo mtu akishakuwa Rais hakuna wakumuangusha au kutoa tonge kinywani!.
NA SISI WATANZANIA LAZIMA WANAOTUNGA SHERIA WALITIZAME KWA UMAKINI HASA KATIKA SWALA LA SUPRIME COURT, NI SWALA MTAMBUKA ALIHITAJI SIASA.
LINATAKIWA LITEULIWE BUNGE LA WATU MAKINI NA WENYE UELEWA MPANA NA WALIOKUWA NA TAALUMA YA SHERIA, KUTOKA KATIKA OGANAIZATION MBALI MBALI LISIJE KAMA SWALA LA KICHAMA ,TUTAHARIBU NA LINAWEZA KUTULETEA VURUGU KATIKA SIKU ZA USONI ENDAPO LIKIVURUGWA KWA ITIKADI ZA VYAMA.