Ungemsaidia kenge wa watu..Kwetu ni karibu na mto. Siku nacheza namaliza kumlisha mtoto sebuleni nikiwa nimeacha mlango na geti wazi, he si walikuwa wametoka kumfurumusha huko akaingia mpaka ndani.
Nilijifungia chumbani na mtoto tena nikambeba tukapanda juu ya kitanda[emoji28][emoji28]
Raia wakaingia wakamfurumusha na kumuulia nje kuja mmoja akambeba na kudai anampeleka kwa wachina wamle maana alikuwa mkubwa na amenona nona sana.
Nilikuwa ninaacha wazi ili mtoto awe anamove free.Ungemsaidia kenge wa watu..
Nafikiri huwezi tena kuacha milango wazi maana ushajua what is kenge..[emoji28]
Yanga ni kenge asikiii mpaka apigwe nyingi damu masikioni itoke
Nimependa kakitu fulani..😉Nilikuwa ninaacha wazi ili mtoto awe anamove free.
Alikuwa anajifunza kutembea.
Ulivyo muoga wewe [emoji23][emoji23] Sema tu ukweli ulimwacha mtoto sebuleni ukasepa kwa speed ya 5G..Kwetu ni karibu na mto.
Siku nacheza namaliza kumlisha mtoto sebuleni nikiwa nimeacha mlango na geti wazi, he si walikuwa wametoka kumfurumusha huko akaingia mpaka ndani.
Nilijifungia chumbani na mtoto tena nikambeba tukapanda juu ya kitanda[emoji28][emoji28]
Raia wakaingia wakamfurumusha na kumuulia nje kuja mmoja akambeba na kudai anampeleka kwa wachina wamle maana alikuwa mkubwa na amenona nona sana.
hukujojoa kweli?Hapana.
Nilimbeba mtoto aiseeee.
Lakini huko ndani nilikuwa natetemeka na kupiga kelele sana.