Watanzania tumezidi sana kumuonea mnyama Kenge

Msafara wa mamba na kenge yupo..kenge na kiherehere.
 

Thread nyingine za kikenge Kenge tu
 
Uzi wa kenge..[emoji23][emoji23][emoji23]

Nakumbuka shule ya msingi kuna mwalimu wangu alikuwa ukikosea anakuita "karmakenge" sijui inamaana gani hii
 
bora kenge, Bundi ndio hapaswi kuonekana kabisa
 
kama juzi bundi alivyotanda kwenye lango la Yanga
 

Kuna Kenge Mmoja haeleweki kwakweli, alianza Kutamani Kuishi Kawe mara akataka kwenda Ukonga na sasa nasikia Kaamua kuishi Kigamboni.
 
Tuache utani jamani, kenge ni mtamu isee.
Ukikuta kanona, ule mkia ni habari nyingine kabisa.
 
Siyo kwa wachina wala wapi, jama aliitumia fursa.

Hiyo ni mboga ya maana sana watu twala.
 
Ufisadi wa kenge tunaujua sisi wafuga kuku, ugomvi wetu na kenge unatokana na mayai.
Ahahaaa....eti kenge sio mwizi!! Hajui huyu sku kenge avamie Banda lake la kuku,ata juta
 
Kenge in wild? Utakuwa unaishi city center. Kenge ni mwizi wa mayai ya kuku na vifaranga au kuku wadogo. Si vijijini, hata pembezoni mwa miji penye vichaka au mashimo, kenge wapo. Umemtaja, sasa nawapa dawa wanaoliwa mayai yao na kenge. Chemsha mayai manne au matano, yakiisha poa yaweke eneo alilozoea kuja kuiba mayai. Kenge havunji, bali humeza na kuyavunjia tumboni baadae. Yalio chemshwa kuyavunjia tumboni hawezi, kuya- digest hawezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…