Nyakarungu
JF-Expert Member
- May 1, 2011
- 472
- 377
Look at this punky reply of yours, anyway I choose to ignore you.Njaa baba angu njaa. mama katutenga kabisa MATAGA.
Mkuu, usiingie kwenye mtego huoMATAGA na Sukuma Gang wako busy mitandaoni kumtukana Rais
Mbona hata wewe ndiyo wale wale tu. Angalia jibu lako kwenye comment namba 3.Mjinga akikutukana mbele za watu, mtazame na utabasamu, atajidharau sana
Nadhani ni busara sana kwetu Watanzania tukajikita kuchambua Sera za nchi na mwelekeo tuutakao kwa taifa letu kwa kuiweka mbele taswira chanya ya taifa letu.Wanaomkosea heshima Rais Samia ni vijana wa mataga ambao wana hasira ya kuondokewa na mpendwa wao Rais Magufuli.
Wengi tulishawahi kuonya kwamba kundi la mataga limejaa vijana wasioweza kufanya siasa za hoja.
Uwezo wa vijana wa mataga upo kwenye kupotosha, kutukana, kudhalilisha, na vurugu.
Nadhani Ni busara Sana kwetu watanzania tukajikita kuchambua Sera za nchi na mwelekeo tuutakao kwa taifa letu kwa kuiweka mbele taswira chanya ya taifa letu.
Ni mbegu mbaya Sana ikiwa tutaendekeza kutengenezeana timu zinazojiita majina yanayotukuza kiongozi mmoja huku yakimdhalilisha na kumkosea heshima mwingine
Leo hii mama mnamtambua Ni Rais aliyetokana na uchaguzi wa 2020 mnaosema CCM iliiba kura,? Na kumbe mnamtambua Ni Rais na mnahitaji msaada wake?Huwezi kutengeneza taswira chanya kuhusu nchi iliyojaa dhuluma na udhalimu. Juzi tu kesi 147 zimefutwa kwa sababu zilikuwa ni za kubambikiwa na wahusika hawajachukuliwa hatua zozote zile za kisheria. Nyingine chungu nzima zilikuwa zimeshahukumiwa na wahusika kulipishwa faini ya mabilioni au kuhukumiwa kifungo cha miaka mingi na wakati huo huo mama yuko kimya kuhusu kuwatendea haki Watanzania hawa.
Mama yuko kimya kuhusu COVID-19 ambao wanalipwa mabilioni ya pesa za walipa kodi pamoja na kuwa wameokotwa barabarani na kikatiba hawana hadhi ya kuwa Bungeni.
Lissu kadhulumiwa sana haihitaji hata dakika 10 kwa mama kutoa amri kwamba Lissu aliyewahi pesa yake yote matibabu lakini bado akapiga kimya sijui hadi lini!? Bado tuna safari ndefu sana katika nchi hii.
Leo hii mama mnamtambua Ni Rais aliyetokana na uchaguzi wa 2020 mnaosema ccm iliiba kura,? Na kumbe mnamtambua Ni Rais na mnahitaji msaada wake?
Hahaha, MATAGA ndiyo wanamtukana Mama?njaa baba angu njaa. mama katutenga kabisa MATAGA.
Umesema vyema.Uhuru wa kuongea na kuonyesha hisia zetu usigeuke kuwa Uhuru wa kutukana na kuonyesha hasira zetu