Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,814
Unataka sera zipi na wakati mh.SSH ni mwendelezo wa AWAMU ILIYOPITA ambayo ndiyo iliyoinadi ILANI YA CCM?!!!Nchi huru hii, msilazimishe watu wasimkosoe SSH wakati hana sera wala vision zaidi ya ku please kila kundi kwa kugawa na kutapanya ovyo keki ya taifa.
Ulitaka aitishe uchaguzi kinyume cha katiba na kuinadi ilani(sera) mpya za CCM kabla ya iliyopo?!!
****************
RAIS WA NCHI NI "CHIEF COMFORTER"......
#KaziIendelee