Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
Umeanzisha thread mwenyewe kisha unaivuruga mwenyewe, kumtambua au kutomtambua hakuzuii kuhitaji msaada wake Rais anayelipwa kama Rais kodi zetu.Leo hii mama mnamtambua Ni Rais aliyetokana na uchaguzi wa 2020 mnaosema ccm iliiba kura,? Na kumbe mnamtambua Ni Rais na mnahitaji msaada wake?
Siasa ndiyo inayotumika hapo, vinginevyo asipotambuliwa kiuasi nchi huwa inaingia kwenye taharuki