Wewe unaandika kwa FAIDA ya nani?Mkuu
Unaandika haya kwa faida ya nani
Na wale waliokuwa wanamkosoa Magu na kumtukana walikuwa watu gani?
Nyie washabiki wa wanasiasa ni vile hamjipi nafasi kujitafakari, mnaowasema hapa sasa ndio wale waliowasema ninyi wakati wa Magufuli ila sema nyani haoni kundule na unapojitahidi kulisha kiu yako daima unamuona alie kinyume chako hajielewi...
Sasa hivi ninyi mliokosoa serikali ya CCM chini ya Magufuli wenye ufahamu wameshawaona hamkuikosoa serikali bali shida yenu ilikuwa Magufuli na bado ameshakufa anawatesa dhamira zenu, tukiwauliza leo CCM imekuwa mpya mtakosa majibu maana CCM Ni ile ile kazi yake kuwageuza geuza Kama chapati,Rais alierithi Sasa alitoka nje ya CCM? Hakuwa msaidizi wa karibu wa Magufuli? Lipi jipya au porojo mpya zenye kutafuta music unadundaje wakati huu?
Nchi inahitaji watu wanaohitaji nchi na hii midundo ya wanasiasa wenye huba zetu haijawahi kutusaidia nchini...
CCM Ni ile ile, tatizo linalojitegemea.
Ni mmoja kati ya watu niliokuwa nawaheshimu sana humu. Sasa hivi kageuka takataka. A piece of human trash. Faeces!!
Sasa namdharau kabisa. Sijui Magufuli alimfanyaga nini tu.
Unadhani kwanini Mkapa mwaka 2019 alitaka uchaguzi wa 2020 usimamiwe na Tume huru ya uchaguzi? Na huyo ni mtu wa ccm aliyewahi kuwa Rais na Mwenyekiti wa maccm. Kwa sababu alijua Tume iliyopo ni FAKE na KAMWE haiwezi kusimamia uchaguzi huru na wa haki.
View attachment 1797695
..wanaomkosoa mama samia ni mataga, na wamejiapiza kuwa kanda yao haitampigia kura mwaka 2025. na wana uhakika mama samia hana uwezo wa kushinda bila kura za kanda yao.Kinachofurahisha ni kwamba wanaomkosoa mama sasa hivi ni ccm ambao 2025 watampigia ccm.
Ila wanaomsifia ni chadema ambao 2025 sijui watanagukia kundi gani
[emoji23][emoji23][emoji23]Maisha yanaenda kasi sana Lisu ajiandae kisaikolojia maana wafuasi wake wako na mama
Kwahiyo wamepanga kumpigia kura nani hao mataga ili kumkomoa mama?..wanaomkosoa mama samia ni mataga, na wamejiapiza kuwa kanda yao haitampigia kura mwaka 2025. na wana uhakika mama samia hana uwezo wa kushinda bila kura za kanda yao.
MATAGA ndo Mimi na MATAGA ndo DOLA CCM Milele hatuwezi kumsema rais wetu Mpendwa Mama Samia, Tena tunampendaaaa sanaaaMATAGA na Sukuma Gang wako busy mitandaoni kumtukana Rais.
Kwahiyo wamepanga kumpigia kura nani hao mataga ili kumkomoa mama?
Bila shaka nyie chadema mmepanga kumpigia kura mama ili kuwakomoa mataga, na mataga nao wamepanga kuipigia kura chadema ili kumkomoa mama!
Rais ni symbol ya Taifa, tunaposhindwa kumheshimu ni kama kujitukana wenyewe...Ebu tujifunze kuheshimu viongozi wetu na kama kuna sehemu wanakosea tuwasahihishe pasipo kuwavunjia heshima..
Sasa huoni kama hiyo ndio democrasia?..mataga wana mpango wa kuunda chama chao.
..wanaamini kwamba wanao wapiga kura wa kutosha kushinda uchaguzi kwa kutetea legacy ya mwendazake.
Huyo jamaa ni uliyemjibu nadhani ni mtu aliyeathirika sana kwa namna moja ama nyingine kutokana na Magufuli kuwa Rais!
Amekuwa kama zumbukuku flani hivi. Yeye kila kitu kwake sasa hivi kina revolve around Magufuli tu!
Anawatwisha watu projections zake. Anadhani eti watu wanaomkosoa Samia ni watu walioumizwa sana na kifo cha Magufuli wakati ukweli wa mambo ni kwamba tupo ambao tulikuwa tukimkosoa Magufuli tulipoona anachemka na tutamkosoa Samia pia.
Nadhani yeye ndo alikuwa anaumizwa sana na urais wa Magufuli na sasa anaya-project hayo maumivu yake kwa watu wengine.
Ni mmoja kati ya watu niliokuwa nawaheshimu sana humu. Sasa hivi kageuka takataka. A piece of human trash. Faeces!!
Sasa namdharau kabisa. Sijui Magufuli alimfanyaga nini tu.