Watanzania tumjulie hali Mr Nice


Our society is insane..
 
Mr nice ndo nn??ni yule anayegombea urais wa tiketi ya ccm au sio ??
 
Aseme kwanza kama yeye ni ccm au ukawa

Kama ni ccm wampeleke Lumumba au chimwaga kama ni ukawa tutamchangia


ukiona mtu anawabagua watanzania kwa ukabila, rangi, vyama vyao hafai kuwa kiongozi katika nchi hiii
 
Msanii akikodiwa kuburudisha kwenye mikutano ya kisiasa tusimhukumu.Pale anakuwa yupo kazini.Tusibaguane.Sote ni wa Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…