Watanzania tumjulie hali Mr Nice

Watanzania tumjulie hali Mr Nice

J C

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2013
Posts
3,061
Reaction score
2,541
Watanzania tunakuwaje lakini?

Leo hii Mr Nice ni mgonjwa sisikii watanzania hasa vyombo vya habari pamoja na wasanii wakimfatilia kumjulia hali hata kujua anaendeleaje au hata yamkini kujua mahitaji ya ugonjwa wake angalau kusaidia kimnya.
img-20160226-wa0000-jpg.326038

Wanasubilia yakitokea ya kutokea utasikia redio station zote wanapiga nyimbo zake huku wakimwaga sifa kedekede kwake na maneno tuliyazoea ati pengo lake halitozibikaa Mara ohoo alikuwa mtu wa watu nk.

Magazeti nayo page zote za mbele zitapambwa na habari zake. Nasema kama mmekaa kimnya kipindi hiki mkae kimnya milele nisisikie. Mtauliza Mimi ni nani hill haliwahusu. Ila sio vema kuendelea na huu unafiki kwa mtualiyetoa vibao mmurua kama kuku kapanda baiskel bata kavaaa laizoni.

Nasema nanyi pia mliomtumia kipindi cha campaign 2005 Leo hii mmetupa hamna habari naye kabisaa. Wengine ni wasanii mko kimnya nasikia na nimeota wengine mmepewa mlungura wa million 50 hata kutoa kidogo kwa mwenzenu mko kimnyaa kabisaa.

Nimeona picha yake akiwa hospital hali yake si nzuri kwa maadili siwezi weka hapa ila anahitaji maombi yetu na kujitoa kwetu kusaidia sio yatokee ya kutoakea ndio tuanze unafiki Mara Ohoo alikuwa rafiki yangu pengo lake halitozibika, halitozibika bibi yako?

Shenzy
 
Afadhali wewe umeliona hilo Mkuu,wabongo hasa hao Wasanii wa Bongo Movie na flavour wanapenda sifa na kuuza sura kwenye misiba. Sasa hivi hautawasikia wakiunda hata kikamati cha kuratibu matibabu yake lakini baadae likitokea la kutokea utasikia fasta kamati ya mazishi ishaundwa tayari. Na pengine Mkuu tungependa kufahamu Mr Nice anasumbuliwa au kuugua nini hasa?
 
Sijajua ila huyu mtu yuko taabani picha inaonyesha anampira maeneo ya tumbo na mwingine mdomoni. Anatia huruma sana amekonda na yuko kitandani. Ujafa ujaumbika aisee. Mungu amrehemu na kumponya .
 
Ameshatoka anadai alikula chakula chenye sumu
 
Kama alitumika kwenye kampeni za CCM 2015, asubiri kinana na nape wakamtembelee.
Augue salama.
 
Na wasanii wanaotumika mwaka huu wajiandae.
Karma is a b!tch always.
 
Na 2005 CCM walimtumia sana kwenye kampeni zake.... Leo hii kimya hata msaada hawampi
 
ule umoja wa wasanii uliosema kuwa wameandaa sherehe ya kumuaga Kikwete kwa pesa zao inaonyesha wana fungu la maana,
kwanini wasimege pesa kidogo wamlipie mwenzao matibabu??
 
Watanzania tunakuwaje lakini?

Leo hii Mr Nice ni mgonjwa sisikii watanzania hasa vyombo vya habari pamoja na wasanii wakimfatilia kumjulia hali hata kujua anaendeleaje au hata yamkini kujua mahitaji ya ugonjwa wake angalau kusaidia kimnya.

Wanasubilia yakitokea ya kutokea utasikia redio station zote wanapiga nyimbo zake huku wakimwaga sifa kedekede kwake na maneno tuliyazoea ati pengo lake halitozibikaa Mara ohoo alikuwa mtu wa watu nk.

Magazeti nayo page zote za mbele zitapambwa na habari zake. Nasema kama mmekaa kimnya kipindi hiki mkae kimnya milele nisisikie. Mtauliza Mimi ni nani hill haliwahusu. Ila sio vema kuendelea na huu unafiki kwa mtualiyetoa vibao mmurua kama kuku kapanda baiskel bata kavaaa laizoni.

Nasema nanyi pia mliomtumia kipindi cha campaign 2005 Leo hii mmetupa hamna habari naye kabisaa. Wengine ni wasanii mko kimnya nasikia na nimeota wengine mmepewa mlungura wa million 50 hata kutoa kidogo kwa mwenzenu mko kimnyaa kabisaa.

Nimeona picha yake akiwa hospital hali yake si nzuri kwa maadili siwezi weka hapa ila anahitaji maombi yetu na kujitoa kwetu kusaidia sio yatokee ya kutoakea ndio tuanze unafiki Mara Ohoo alikuwa rafiki yangu pengo lake halitozibika, halitozibika bibi yako?

Shenzy
Ni ccm au UKAWA?, pole zake
 
Aseme kwanza kama yeye ni ccm au ukawa

Kama ni ccm wampeleke Lumumba au chimwaga kama ni ukawa tutamchangia
 
nimeona jose chameleon ndio anahamasisha watu wachange kwenye page yake ya instagram can u imagine wasanii wenzake wa bongo wako busy na hela za magamb aView attachment 287472

hii nchi ina vilaana laana vingi sana
tatizo ni msingi wa unafiki......juu akiwa mnafiki baas kote ni unafiki na fitina tu.
Hili ni fundisho kwa wasanii wa bongo
ccm itaanguko nawasanii wote mlioko ccm ndio mwisho wenu mtafulia
mabadiliko yatakuja na wasanii wenye akili timamu
 
mr nice mziki ulishakwisha damuni....atafute profesheni ingine kuliko kulazimisha gemu...
pia bado anaendekeza sana ulabu kwenye promosheni za TBL,,,,,Atakwenda ooohoo.....
 
Back
Top Bottom