Watanzania tumjulie hali Mr Nice

Watanzania tumjulie hali Mr Nice

Masikini Nice Mkenda,nini kimemsibu jamaa aisee?ameanguka sana kimuziki nadhan hali hiyo inam-frustrated na amekosa plan B ya maisha yake..vijana tujifunze kwa watu walio-failed kama hawa ili tuwe na discipline kwa kidogo tukipatacho,huu sio wakati wakutapanya maisha yamebadilika,ukipata jitahidi kujibana bana ujiwekee viji asset badae vitakufaa kwenye shida..inauma sana mtu ulikuwa level nzuri leo unaonekana kituko mbele ya waliokuwa nyuma yako.
 
astonvilla-jpg.269115
Ina maana hili duara na yeye linamuhusu ???? maana wengi kwenye huu mduara wameshatuachia dunia wao wameenda zao.Eti Jambazi
 
Huyo diana aston villa (kwenye gazeti huyo aliyejifunika khanga) amezaa na nice mtoto mmoja (collin) dakika za mwisho wa maisha yake alisema ataondoka na wengi 9c, mafarasi.
 
Back
Top Bottom