Pre GE2025 Watanzania Tumlinde na Kumtetea Kwa Nguvu zetu zote Rais Samia Zidi ya Waroho Wa Madaraka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Sikatai na wala sipingi moja kwa moja kuwa changamoto hazipo hapa Nchini. Lakini ni ukweli ulio wa wazi kuwa sote tunaona na kushuhudia namna Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan anavyo pambana usiku na mchana kutatua na kumaliza kero mbalimbali.

Tunaona na kujionea dhamira yake njema katika kutukwamua na kutuinua kiuchumi.

Kupitia Rais wetu Mpendwa Samia Tunaona nuru katika nchi yetu,tunaona kesho yetu iliyo njema kuliko leo,tunaona Tumaini mbele yetu,tunaona mwanga katikati yetu,tunaona madaraja katikati ya changamoto ya kimaisha.Tunaona namna Rais wetu anavyotuwezesha katika kutimiza ndoto zetu.

Tunaona namna anavyotufariji na kututia moyo na matumaini wakati wote.tunaona namna alivyo bega kwa bega na sisi na kwa kila hatua.

Tunaona namna anavyoumizwa na matatizo yetu ,tunaona namna anavyofanya kila kitu kwa ajili yetu sote watanzania.

Anafanya hayo yote kwa ajili yetu watanzania,kwa ajili ya kututua mizigo,kwa ajili ya kutufuta machozi.anajitajidi kwa kadri ya uwezo wake Mama yetu kumfikia kila mmoja wetu kwa namna yake.

Embu fikiria ndugu zangu Taifa kama Marekani lililopata uhuru wake takribani karne mbili zilizopita yaani mwaka 1776 ,lakini leo ukikaa na kusikiliza sera ,ajenda na hata hoja za midahalo ya Mama Kamala Harris pamoja na Donald Trump unaweza kufikiria labda Taifa hilo lilipata uhuru wake pale nchi ya Sudani kusini ilipokuwa inajitenga kutoka Sudani ya kaskazini ya Omar Bashir wakati huo.

Unaweza kufikiria labda Marekani inayozungumziwa na akina Harris na Trump siyo ile iliyoongozwa na George Washington au Franklin Roosevelt au John F Kennedy au Harry Truman au Reonald Regan au Bill Clinton au Barack Obama .kwa sababu utaona Harris na Trump bado wanazungumzia habari za kutengeneza ajira kwa vijana kwa wingi,kuimarisha uchumi ,kupunguza kodi ,kupunguza gharama za matibabu na mengine mengi .

Sasa kama Marekani iliyopata uhuru wake zaidi ya miaka mia mbili na point iliyopita yaani miaka 248 iliyopita ,vipi kwa Tanzania ambayo imepata uhuru mwaka 1961 ikiwa haina wasomi,haina viwanda,haina barabara za lami,haina vyuo wala shule za kutosha ,haina umeme kwa mikoa mingi kama siyo yote,haina mifumo ya aina yoyote ile ya kueleweka ya taasisi mbalimbali? Vipi Tanzania hii iliyokuwa imejaa mamilioni ya watu wasio juwa kusoma na kuandika mwaka 61 ikose changamoto leo ndugu zangu?

Embu tumuungeni mkono Mama yetu Mpendwa kwa juhudi hizi kubwa anazofanya kuliinua Taifa letu kiuchumi. Tutampata wapi Mama Samia mwingine ndugu zanguni? Moyo wangu unaumia sana napoona kuna watu wanamshambulia hovyo bila sababu wala hoja za msingi.

Naumia sana moyoni mwangu hasa kwa kuona namna Mama huyu alivyojitolea kuwatumikia watanzania halafu anajitokeza mwingine anaanza kumtolea lugha za matusi na kejeli..

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Mlinde wewe na wajinga wenzako
Jitahidi siku moja moja kutumia busara ,hekima na akili katika kujadili hoja.usipende kila siku kuonyesha utoto wako na ujinga wakati wewe ni mtu mzima. Tunaweza kutofautiana mitizamo na bado tukajadili hoja kwa hoja na hata kukubaliana kutokukubaliana pasipo kushambuliana kwa lugha za matusi au kutwezana utu wetu.

Hata hivyo nimekusamehe bure kabisa maana ndani ya CCM tunafundishwa maadili mema na mazuri na kuwavumilia watu aina yako.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sikatai na wala sipingi moja kwa moja kuwa changamoto ndogondogo hazipo hapa Nchini. Lakini ni ukweli ulio wa wazi kuwa sote tunaona na kushuhudia namna Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anavyo pambana usiku na mchana kutatua na kumaliza kero mbalimbali .tunaona na kujionea dhamira yake njema katika kutukwamua na kutuinua kiuchumi.

Kupitia Mama yetu na Rais wetu Mpendwa Daktari Mama Samia Tunaona nuru katika nchi yetu,tunaona kesho yetu iliyo njema kuliko leo,tunaona Tumaini mbele yetu,tunaona mwanga katikati yetu,tunaona madaraja katikati ya changamoto ya kimaisha.tunaona namna Rais wetu anavyotuwezesha katika kutimiza ndoto zetu.

Tunaona namna anavyotufariji na kututia moyo na matumaini wakati wote.tunaona namna alivyo bega kwa bega na sisi na kwa kila hatua. Tunaona namna anavyoumizwa na matatizo yetu ,tunaona namna anavyofanya kila kitu kwa ajili yetu sote watanzania.

Anafanya hayo yote kwa ajili yetu watanzania,kwa ajili ya kututua mizigo,kwa ajili ya kutufuta machozi.anajitajidi kwa kadri ya uwezo wake Mama yetu kumfikia kila mmoja wetu kwa namna yake.

Embu fikiria ndugu zangu Taifa kama Marekani lililopata uhuru wake takribani karne mbili zilizopita yaani mwaka 1776 ,lakini leo ukikaa na kusikiliza sera ,ajenda na hata hoja za midahalo ya Mama Kamala Harris pamoja na Donald Trump unaweza kufikiria labda Taifa hilo lilipata uhuru wake pale nchi ya Sudani kusini ilipokuwa inajitenga kutoka Sudani ya kaskazini ya Omar Bashir wakati huo.

Unaweza kufikiria labda Marekani inayozungumziwa na akina Harris na Trump siyo ile iliyoongozwa na George Washington au Franklin Roosevelt au John F Kennedy au Harry Truman au Reonald Regan au Bill Clinton au Barack Obama .kwa sababu utaona Harris na Trump bado wanazungumzia habari za kutengeneza ajira kwa vijana kwa wingi,kuimarisha uchumi ,kupunguza kodi ,kupunguza gharama za matibabu na mengine mengi .

Sasa kama Marekani iliyopata uhuru wake zaidi ya miaka mia mbili na point iliyopita yaani miaka 248 iliyopita ,vipi kwa Tanzania ambayo imepata uhuru mwaka 1961 ikiwa haina wasomi,haina viwanda,haina barabara za lami,haina vyuo wala shule za kutosha ,haina umeme kwa mikoa mingi kama siyo yote,haina mifumo ya aina yoyote ile ya kueleweka ya taasisi mbalimbali? Vipi Tanzania hii iliyokuwa imejaa mamilioni ya watu wasio juwa kusoma na kuandika mwaka 61 ikose changamoto leo ndugu zangu?

Embu tumuungeni mkono Mama yetu Mpendwa kwa juhudi hizi kubwa anazofanya kuliinua Taifa letu kiuchumi. Tutampata wapi Mama Samia mwingine ndugu zanguni? Moyo wangu unaumia sana napoona kuna watu wanamshambulia hovyo bila sababu wala hoja za msingi.Naumia sana moyoni mwangu hasa kwa kuona namna Mama huyu alivyojitolea kuwatumikia watanzania halafu anajitokeza mwingine anaanza kumtolea lugha za matusi na kejeli..

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe punguani Rais Samia anao ulinzi wa kutosha kabisa bila ya huu utopolo wako unaoongozwa na njaa yako ya kuteuliwa. Naona hata Rais Samia akisoma huu upuuzi wako anatema mate kwa dharau. Hebu tulia kwanza kwa mfululizo wa haya mashudu yako huwezi kuteuliwa kamwe.
 
Koma kutuandikia ujinga wako hapa
 
Wewe punguani Rais Samia anao ulinzi wa kutosha kabisa bila ya huu utopolo wako unaoongozwa na njaa yako ya kuteuliwa. Naona hata Rais Samia akisoma huu upuuzi wako anatema mate kwa dharau. Hebu tulia kwanza kwa mfululizo wa haya mashudu yako huwezi kuteuliwa kamwe.
Kwani wapi nimesema natafuta uteuzi ndugu yangu mtanzania? Ningekuwa natafuta uteuzi basi ningekuwa nimeshakata tamaa na kuacha kabisa kuingia na kuandika chochote kile humu jukwaani.
 
Ukimlinda wewe peke Yako unatosha lakini watanzania tunaojitambua na wapenda maendeleo hatushawishiki kumlinda au kumtetea Kwa sababu nyingi ikiwemo kuwepo Kwa utekaji wa watu na kuuwawa hovyo kama alivyouawa mzee kibao
 
Ndugu zangu Watanzania,

Sikatai na wala sipingi moja kwa moja kuwa changamoto ndogondogo hazipo hapa Nchini. Lakini ni ukweli ulio wa wazi kuwa sote tunaona na kushuhudia namna Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anavyo pambana usiku na mchana kutatua na kumaliza kero mbalimbali .tunaona na kujionea dhamira yake njema katika kutukwamua na kutuinua kiuchumi.

Kupitia Mama yetu na Rais wetu Mpendwa Daktari Mama Samia Tunaona nuru katika nchi yetu,tunaona kesho yetu iliyo njema kuliko leo,tunaona Tumaini mbele yetu,tunaona mwanga katikati yetu,tunaona madaraja katikati ya changamoto ya kimaisha.tunaona namna Rais wetu anavyotuwezesha katika kutimiza ndoto zetu.

Tunaona namna anavyotufariji na kututia moyo na matumaini wakati wote.tunaona namna alivyo bega kwa bega na sisi na kwa kila hatua. Tunaona namna anavyoumizwa na matatizo yetu ,tunaona namna anavyofanya kila kitu kwa ajili yetu sote watanzania.

Anafanya hayo yote kwa ajili yetu watanzania,kwa ajili ya kututua mizigo,kwa ajili ya kutufuta machozi.anajitajidi kwa kadri ya uwezo wake Mama yetu kumfikia kila mmoja wetu kwa namna yake.

Embu fikiria ndugu zangu Taifa kama Marekani lililopata uhuru wake takribani karne mbili zilizopita yaani mwaka 1776 ,lakini leo ukikaa na kusikiliza sera ,ajenda na hata hoja za midahalo ya Mama Kamala Harris pamoja na Donald Trump unaweza kufikiria labda Taifa hilo lilipata uhuru wake pale nchi ya Sudani kusini ilipokuwa inajitenga kutoka Sudani ya kaskazini ya Omar Bashir wakati huo.

Unaweza kufikiria labda Marekani inayozungumziwa na akina Harris na Trump siyo ile iliyoongozwa na George Washington au Franklin Roosevelt au John F Kennedy au Harry Truman au Reonald Regan au Bill Clinton au Barack Obama .kwa sababu utaona Harris na Trump bado wanazungumzia habari za kutengeneza ajira kwa vijana kwa wingi,kuimarisha uchumi ,kupunguza kodi ,kupunguza gharama za matibabu na mengine mengi .

Sasa kama Marekani iliyopata uhuru wake zaidi ya miaka mia mbili na point iliyopita yaani miaka 248 iliyopita ,vipi kwa Tanzania ambayo imepata uhuru mwaka 1961 ikiwa haina wasomi,haina viwanda,haina barabara za lami,haina vyuo wala shule za kutosha ,haina umeme kwa mikoa mingi kama siyo yote,haina mifumo ya aina yoyote ile ya kueleweka ya taasisi mbalimbali? Vipi Tanzania hii iliyokuwa imejaa mamilioni ya watu wasio juwa kusoma na kuandika mwaka 61 ikose changamoto leo ndugu zangu?

Embu tumuungeni mkono Mama yetu Mpendwa kwa juhudi hizi kubwa anazofanya kuliinua Taifa letu kiuchumi. Tutampata wapi Mama Samia mwingine ndugu zanguni? Moyo wangu unaumia sana napoona kuna watu wanamshambulia hovyo bila sababu wala hoja za msingi.Naumia sana moyoni mwangu hasa kwa kuona namna Mama huyu alivyojitolea kuwatumikia watanzania halafu anajitokeza mwingine anaanza kumtolea lugha za matusi na kejeli..

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Kauli ya Dr nchimbi about vijana iliwahusu Sana mtu kama wewe

Unaongea kwenye mfumo wa huruma

Changamoto zipo eeh zinatatuliwaje?

Hayo ndio watu wanataka vijana mseme
 
Kwani wapi nimesema natafuta uteuzi ndugu yangu mtanzania? Ningekuwa natafuta uteuzi basi ningekuwa nimeshakata tamaa na kuacha kabisa kuingia na kuandika chochote kile humu jukwaani.
Kwani unafikiri wale PSU tunawalipa hela ya kodi zetu kwa kazi gani? Hebu tuondolee huu upunguani wako.
 
Back
Top Bottom