Pre GE2025 Watanzania Tumlinde na Kumtetea Kwa Nguvu zetu zote Rais Samia Zidi ya Waroho Wa Madaraka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ili alindwe vizuri na hao waroho, ni vema ukawataja ili tuwe makini nao.
 
Ni Mama Samia Suluhu Hasssan hadi 2030
Mkuu najua huwa unajitoa ufahamu tu. Tunaomba uwe unakuja na mada kuhusu kilimo unachofanya ili wengine wajifunze kuliko kila saa kupiga chapuo viongozi wa CCM waendelee kuneemeka kwa posho na marupurupu mengine.​
 
Mtu anakusaidia uache ujinga ulivyo mjinga unalalamika kijinga kutetea ujinga wako
Unaletaje haja unaiita hoja?
 
Niache kufanya mambo yangu nika litetee jitu linalo tembelea v8 na kugawa pesa kijinga
 
Mroho wa madaraka ni nani kati ya hao na yeye anayeua na kuhonga watu?

Kama unabisha kuwa siyo mroho wa madaraka, hebu mwambie aagize uchunguzi huru wa utekaji na mauaji ya wapinzani wake yanayoendelea na kuratibiwa na idara yake ya "Usalama wa Rais a.k.a TISS" uone kama atakubali

Ukiona hivyo, jua kuwa Rais wako ndiye mroho wa madaraka na ndiye muuaji namba moja ya wapinzani wake kisiasa!!

##SAMIA MUST GOO
 
Lucas, jitafakari sana, na ujiulize kama upo kwenye upeo wako halisia. Yaani watu kutekwa, kupotezwa na kuuawa kwa sababu tu ya ukosoaji, unasema ni changamoto ndogo ndogo? Kama kupotea kwa maisha ya watu ni mambo madogo madogp, kwako mambo makubwa ni nini?

Mimi sifikirii muda huu ni wa kumwondoa Rais madarakani, na sidhani kama kuna anayelidhamiria hilo. Lakini kwa sababu jukumu la msingi kuliko yote kwa serikali yoyote Funiani ni usalama wa raia, na kwa vile Rais Samia ameshi dwa kwenye hili la msingi, tumpe muda amalizie muda wake wa Urais wa kikatiba, mwaka 2025 tumshukuru alipotufikisha, aende akapumzike. Lakini ni muhimu zaidi, katika kumpata Rais mwingine, tuwe makini sana, isije ikawa huu ushetani wa sasa ukaendelea au ukawa mbaya zaidi ya huu wa sasa. Rais ni mtu mmoja tu, lakini kwa katiba yetu hii mbaya, Rais anaweza kuwafanya muishi kama binadamu, au muishi kama nyumbu katikati ya simba, kama ilivyo sasa.
 

Unatetea utumbo wako mpana usikose uchafu maana chawa wanahitaji uchafu ili waishi.
 
Kama yeye siyo mroho wa madaraka aachie ngazi. Yeye mwenyewe ni mroho wa madaraka ndiyo maana anaita drama matukio yote ya kuuawa na kutekwa kwa wanaompinga. Tena yeye ndiye mroho hatari kuliko wasikuwa na madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…