Watanzania tumpe zawadi gani Jesca Magufuli?

TeamJf,
Salaam na hongereni sana kwa mfungo MTUKUFU na QARESMA!

Nimefuatilia mazungumzo ya binti wa hayati John Joseph Pombe Magufuli katika kumbukizi ya kifo cha baba yake nimegundua ni MTU bright sana.

Anaonekana kuwa MTU wa kaliba ya baba yake (seriousness, appearance, na word build-up). Ni zawadi gani tunayoweza kumpa kijana huyu mdogo ambaye marehemu baba yake ameacha mchango mkubwa kwa taifa?

Viongozi huandaliwa lkn pia ni innate quality.

Msakila Kabende
Kakonko - Tanzania

Mpe zawadi ya kukuoa
 
Hakika, J.J.P.M ni CCM ya leo kesho na 2025 na kuendelea.

Asipewe kitu chochote kile, nashauri aingie kwenye kinyang'anyiro cha ubunge 2025, huko tutampa kura ya [✓]Ndio.
 
TeamJf,
Salaam na hongereni sana kwa mfungo MTUKUFU na QARESMA!

Nimefuatilia mazungumzo ya binti wa hayati John Joseph Pombe Magufuli katika kumbukizi ya kifo cha baba yake nimegundua ni MTU bright sana.

Anaonekana kuwa MTU wa kaliba ya baba yake (seriousness, appearance, na word build-up). Ni zawadi gani tunayoweza kumpa kijana huyu mdogo ambaye marehemu baba yake ameacha mchango mkubwa kwa taifa?

Viongozi huandaliwa lkn pia ni innate quality.

Msakila Kabende
Kakonko - Tanzania
Ungeweka hapa hiyo clip ya binti Magu ingependeza
 
TeamJf,
Salaam na hongereni sana kwa mfungo MTUKUFU na QARESMA!

Nimefuatilia mazungumzo ya binti wa hayati John Joseph Pombe Magufuli katika kumbukizi ya kifo cha baba yake nimegundua ni MTU bright sana.

Anaonekana kuwa MTU wa kaliba ya baba yake (seriousness, appearance, na word build-up). Ni zawadi gani tunayoweza kumpa kijana huyu mdogo ambaye marehemu baba yake ameacha mchango mkubwa kwa taifa?

Viongozi huandaliwa lkn pia ni innate quality.

Msakila Kabende
Kakonko - Tanzania
Soleer
 
Huyo Kilaza aliesoma kwa kuungaunga kwa ushawishi wa Baba yake mpaka ikapelekea ikawa nongwa kuandika neno kilaza hapa jukwaani kisa tuu tunamkera Baba yake aliewaita watoto wa Watanzania wenzake vilaza?
Mbona makasiriko wakati baba yake jesca anaenda shule baba yako amekimbia umande
 
TeamJf,
Salaam na hongereni sana kwa mfungo MTUKUFU na QARESMA!

Nimefuatilia mazungumzo ya binti wa hayati John Joseph Pombe Magufuli katika kumbukizi ya kifo cha baba yake nimegundua ni MTU bright sana.

Anaonekana kuwa MTU wa kaliba ya baba yake (seriousness, appearance, na word build-up). Ni zawadi gani tunayoweza kumpa kijana huyu mdogo ambaye marehemu baba yake ameacha mchango mkubwa kwa taifa?

Viongozi huandaliwa lkn pia ni innate quality.

Msakila Kabende
Kakonko - Tanzania
Tuna vijana wa hovyo sana….ndio maana hatuendelei!
 
TeamJf,
Salaam na hongereni sana kwa mfungo MTUKUFU na QARESMA!

Nimefuatilia mazungumzo ya binti wa hayati John Joseph Pombe Magufuli katika kumbukizi ya kifo cha baba yake nimegundua ni MTU bright sana.

Anaonekana kuwa MTU wa kaliba ya baba yake (seriousness, appearance, na word build-up). Ni zawadi gani tunayoweza kumpa kijana huyu mdogo ambaye marehemu baba yake ameacha mchango mkubwa kwa taifa?

Viongozi huandaliwa lkn pia ni innate quality.

Msakila Kabende
Kakonko - Tanzania
Huyo si ni yule aliyepata zero form six? Hiyo ni brightness ya nini. Baba alikuwa na akili ya kuharibu nchi na kupumbaza majinga km wewe
 
You don't have to be President child, to be bright, or considered to be so,
Nyerere, Salim Ahmed Salim, Kawawa,came from humble beginnings, they didn't have God Father's,
Even eron musk, Diamond, Filikunjombe were not/are not sons of President or great people.
There is nothing special about Jesca Maghufuri,she is just like any other girl, but being the president daughter, she will priotize on it for material well-being and wealth accumulations, but nothing important for the m wananchi will come out of it! It's unfortunate, that as the president daughter, with all that connections, she is still waiting to be appointed for political positions,
By this time she should have several projects going on, she can rent from Charlene Ruto, President of Kenya daughter.
Insteady of looking for sympathy, she should have done something to help the community, she should have been being seen on the ground with common mwnanchi,running projects like agriculture, helping girl child,
 
TeamJf,
Salaam na hongereni sana kwa mfungo MTUKUFU na QARESMA!

Nimefuatilia mazungumzo ya binti wa hayati John Joseph Pombe Magufuli katika kumbukizi ya kifo cha baba yake nimegundua ni MTU bright sana.

Anaonekana kuwa MTU wa kaliba ya baba yake (seriousness, appearance, na word build-up). Ni zawadi gani tunayoweza kumpa kijana huyu mdogo ambaye marehemu baba yake ameacha mchango mkubwa kwa taifa?

Viongozi huandaliwa lkn pia ni innate quality.

Msakila Kabende
Kakonko - Tanzania

Peleka POSA ....!!
 
Namba ya sim umesahau
 
Mali aliczo acha Bab ake aziendelezeee waachane na siasa au snaa natikiria kijan ake Joseph magu nae agombee ubunge
 
Zawadi inayomstahiri ni kuolewa na makamanda wapambanaji wa chadema...mwambie namhitaji huku chunya mbeya anisaidie kupanga mipango ya kuiendesha biashara yng ya dhahabu [emoji28][emoji28]
 
TeamJf,
Salaam na hongereni sana kwa mfungo MTUKUFU na QARESMA!

Nimefuatilia mazungumzo ya binti wa hayati John Joseph Pombe Magufuli katika kumbukizi ya kifo cha baba yake nimegundua ni MTU bright sana.

Anaonekana kuwa MTU wa kaliba ya baba yake (seriousness, appearance, na word build-up). Ni zawadi gani tunayoweza kumpa kijana huyu mdogo ambaye marehemu baba yake ameacha mchango mkubwa kwa taifa?

Viongozi huandaliwa lkMu
Muoe hana mume mpaka sasa anazeeka
 
Back
Top Bottom