Watanzania tumpe zawadi gani Jesca Magufuli?

Huyu aliyedisco UDOM akavushwa ndo unamsifia hapa?
 
Uchawa huko ccm mpka vikongwe..huyo aliefeli shule nae kilaza tu kma mshua
 
Huyo Kilaza aliesoma kwa kuungaunga kwa ushawishi wa Baba yake mpaka ikapelekea ikawa nongwa kuandika neno kilaza hapa jukwaani kisa tuu tunamkera Baba yake aliewaita watoto wa Watanzania wenzake vilaza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Apewe zawadi heti kwa sababu tu Baba yake alishawahi kuwa Rais, au kuna kitu huyu binti kafanya cha ziada hadi apewe zawadi? Jamani tuache kujipendekeza.
 
Bunge litunge sheria ya Mafao ya watoto wa maraisi kama ilivyofanya kwa wenza ya viongozi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. nchi ya wajinga na kutoa zawadi tu. Sio apambana kweli!😑😑😑😑
 
Wanasemaga siasa ni uongo uongo tu unaokubalika , hauhitaji kuwa na Elimu kubwa .
Kwahiyo hata kama elimu yake ni ya kuungaunga akomae tu agombee ubunge huko huko kwao!
Jina la Baba yake litambeba sana !
 
Bunge litunge sheria ya Mafao ya watoto wa maraisi kama ilivyofanya kwa wenza ya viongozi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. nchi ya wajinga na kutoa zawadi tu. Sio apambana kweli!😑😑😑😑
Kuna nchi hata moja duniani isiyolipa viongozi wastaafu na familia zao? Wewe ikitokea ukawa Rais utafuta utaratibu huo?
 
Moja ya sifa ya watoto wa viongozi ni utulivu (huwezi kuta anafanya mambo ya hovyo)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…