Watanzania tumpe zawadi gani Jesca Magufuli?

Mpe kalio
 
Kuna nchi hata moja duniani isiyolipa viongozi wastaafu na familia zao? Wewe ikitokea ukawa Rais utafuta utaratibu huo?
Anayelipwa ni kiongozi mstaafu na sio familia yake au wenza wake. Ni nchi inayoendeshwaa kifalme au na wabunge waki ujima kama TZ ndio inayolipa wenza na hata watoto baada ya miaka 18. Msaafu ndio atajua kujipanga kutunza familia yake.
 

Kwa hiyo una amini watu wote humu ndani walimsikiliza?
Ungeandika hayo mambo yaliyo kugusa uone kama yatagusa na wengine ili waweze kukuunga mkono
 
Hao ndio wanakula mema ya nchi sasa unataka uwape nini zaidi?
 
Alipataga four ya 30 ya form four wakati anasoma st mathews kama sikosei bado point moja au mbili azungushe zero kabisa ila sawa ana akili sana tumpe zawadi mkuu
 
Picha yake tumwone
 
Huyo Kilaza aliesoma kwa kuungaunga kwa ushawishi wa Baba yake mpaka ikapelekea ikawa nongwa kuandika neno kilaza hapa jukwaani kisa tuu tunamkera Baba yake aliewaita watoto wa Watanzania wenzake vilaza?
Kilaza nu wewe usiyejua lolote.chuki hazijawahi kumwacha mtu salama.
 
Teuzi ingefaa
 
Acha kufikiria kwa kutumia hisia mkuu,shirikisha akili yako,kwenu tu Kuna masikini Kibao hata Milo mitatu hawawezi kumudu.
Unakuja na hoja dhaifu ya kumpa Zawadi mtoto wa Aliyekuwa Tanzania one,waulize Wana miradi mingapi,majumba,mahotel na mahela kiasi gani bank mpaka unakuja kumuonea huruma,think deep,shughulika na famia yako na ndugu zako
 
Matatizo ya nyumbani kwako yameisha? Kwa HIYO kwenye kundi la matajiri hakuna uongozi?
 
Uchawa unalipa ongeza bidii
 
Andika kwa kiswahili tukuelewe... Hizi papatupapatu zinatumalizia nguvu ya macho.
 
Anaonekana kuwa MTU wa kaliba ya baba yake (seriousness, appearance, na word build-up). Ni zawadi gani tunayoweza kumpa kijana huyu mdogo ambaye marehemu baba yake ameacha mchango mkubwa kwa taifa?

Viongozi huandaliwa lkn pia ni innate quality.
Tumuonjeshe ubunge wa Chato
 
Mpe mku...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…