ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 520
- 1,143
Wadau tuache malumbano ambayo hayana tija ebu tujivunie cha kwetu Diamond ni mwanetu. Kijana wetu mdogo wetu mtanzania mwenzetu ebu tujivunie vya kwetu tofauti zetu tuweke pembení.
Hakuna mtu asiyejua awa vijana maisha waliyotoka mpaka kufikia hapo kwa hiyo tusiwakatishe tamaa tuzidi kuwa nao katika kila hatua Tanzania moja nasisi ni wamoja.
Kura kwa Diamond. Naomba anayejua namna ya kumpigia kura aweke hapa tuhamasishane.
Mungu mbariki kijana wetu mtanzanià mwenzetu.