Bavicha wameingia cha kike !Hakuna kitu kama kura ya kapuku kwenye hiyo tuzo..ni recognized pannel ndo inayopiga kura
Mzee ndege juzi ile wadau walichekecha muhamala wa wewe kupata kilaji kidogo?Mimi Ni CCM lakini hujanishawishi Bado sina muda
Manyoya....ila Kuna captain wangu hukuhuku kitaa alisimamia show yote hatimaye tukala Bata mpk club tulienda mixer nyama chomaMzee ndege juzi ile wadau walichekecha muhamala wa wewe kupata kilaji kidogo?
wadau tuache malumbano ambayo ayana tija ebu tujivunie cha kwetu diamond ni mwenetu. kijana wetu mdogo