Watanzania, tumpongeze Yusuf Manji kwa kuwa mzalendo na kurudi nyumbani. Rais Samia asichelewe, amuite Ikulu wazungumze

Huyu jamaa, anaongea upepo yeye anaona ndio point..., Hadi anashupaza shingo.
 
Mwaka huu bei ya korosho itakuwa nzuri Sana.
Wamrejeshee na shamba lake la kigamboni lililoporwa na madhalimu.Badala ya kupambana na maendeleo wao kupambana na watu.
Watu washamba huwa awapewi madaraka dunia nzima
 
Kuna siku nilishawai ku comment humu kwamba uwepo wa mfanyabiashara Yusuf Manji una umuhimu mkubwa sana katika Taifa hili, hivyo nikashauri Mama Rais Samia Hassan amuombe Manji arudi, hatimaye sasa Manji amerejea nyumbani.
Mleta mada acha ujinga na utopolo!
Unajua uharamia wa huyu mtu na ulaghai aliokuwa akifanya?
Huyu hana biashara ya maana zaidi ya utapeli na kama unabisha chunguza.
 
40% Yanga pia ilimponza,aliundiwa taxi force lazima aondoke ili timu flan isipate ushindani,kama binadamu itakua ana mabaya yake,watu wakatumia hayo mabaya na mengine wakamuongezea ili kumkomoa tu
 
Manji ni mwizi tu kama wezi wengine.
Kaiba nini na wapi?
Isiwe unashitaki ujinga wako wa kutojuwa namna ya ku 'handle' rasilimali za nchi yako ?
Na pale wengine wakija kufaidika na ujinga wako unawaitaje wizi?
Habu nenda kwenye kiyoo jitazame sura yako kwanza,tokea upate uhuru miaka 60 sasa ,huna uliwezalo kama taifa.
Je wewe ni shujaa au kioja?
Wacha wenye vipaji watumie vipaji vyao kuvuna faida ya ujinga wako
 
Mleta mada acha ujinga na utopolo!
Unajua uharamia wa huyu mtu na ulaghai aliokuwa akifanya?
Huyu hana biashara ya maana zaidi ya utapeli na kama unabisha chunguza.
Kwanini amkumshtaki!mkampa kesi ya m 200 akakaa ndani miezi 4 na baadae akaonekana hana kosa
 
Ulimkamata lini akiwa anakuibia? Na kwanini hukumshitaki?
 
Ukitafakali vipaumbele vya baadhi ya watanzania!!!Kuna watu nchi hii ni wajinga wa kula mavi!!Uyo muhindi amefanya ufisadi wa kutisha,leo kuna majitu yanashangilia ngozi nyeusi sijui tuna rahana gani,?!!
We acha tu! Na baadhi unawakuta wanasema wamesoma, wana digrii, wantafuta ajira au wameajiliwa. Ni akili ndogo sana! Huyo TheDreamer Thebeliever aliyeleta thrd ameanza kwa heshima kabisa akiamini analeta habari njema kwa nchi. Hana hata chembe ya kujiuliza kama mtu kama huyu alijibanza wapi akisubili arudi kufanya upuuzi wake. La muhimu anataja Yanga. Yanga! Anamuombea na kufika Ikulu!
 
Ushahidi wa kisheria unao?
 
Rostam alikuwa na upekee gani hadi akaigeuza Ikulu kama sebule yake kipindi cha Mwendazake? Yeye ndiye alikuwa Mfanyabiasha pekee nchi hii? Na akaamrishwa kabisa na Mwendazake akagombee ubunge Morogoro

Sina uhakika sana, kama rostam alikuwa akishinda sebuleni kwa mfalme. pengine aliomba kuonana na mfalme. hilo siyo baya. lkn kutafutwa ili kuambiwa unapendwa na utalindwa huku ukishikwa kichwani kama mvulana mdogo, hapo ndiyo nazusha maswali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…