Kurunzi
JF-Expert Member
- Jul 31, 2009
- 9,753
- 10,747
Alikopa hela kujenga hayo majengo akodishe alipe matokeo yake alishindwa yakarudishwaAlikuwa anadaiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikopa hela kujenga hayo majengo akodishe alipe matokeo yake alishindwa yakarudishwaAlikuwa anadaiwa
Huyu jamaa, anaongea upepo yeye anaona ndio point..., Hadi anashupaza shingo.Usalama?
Ngoja tutafakari haya yafuatayo:
kwani yeye ana shida gani na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama? Je wafanya biashara wote walipiga hodi ikulu ili kutamkiwa na kuhakikishiwa usalama na rais? Yeye ana upekee upi ambao inalazimu rais amhakikishie usalama?
Ni hadi akiingia dikteta mwingineKweli kila zama na kitabu chake kwahiyo kile kipindi cha matajiri kuishi kama mashetani ndo kimepita hivo au tuendelee kusubiri?
Mleta mada acha ujinga na utopolo!Kuna siku nilishawai ku comment humu kwamba uwepo wa mfanyabiashara Yusuf Manji una umuhimu mkubwa sana katika Taifa hili, hivyo nikashauri Mama Rais Samia Hassan amuombe Manji arudi, hatimaye sasa Manji amerejea nyumbani.
40% Yanga pia ilimponza,aliundiwa taxi force lazima aondoke ili timu flan isipate ushindani,kama binadamu itakua ana mabaya yake,watu wakatumia hayo mabaya na mengine wakamuongezea ili kumkomoa tuKama ni mwizi Mahakama zetu zimeshindwa nini kum convict? Manji yupo Tanzania na yeye ni kizazi cha tatu katika ukoo wao.
Babu yake alikuwa ndiye mmiliki wa Quality Garage pale Pugu Road ilivyokuwa inachonga mabodi ya mabasi yote nchini kuanzia UDA, KAMATA, SCANDINAVIA nk.
Mpaka mwaka 2015 makampuni ya Yusuf Manji chini ya Quality Group yalikuwa yanaajiri Watanzania zaidi ya 2000. Na alikuwa ndiye mnunuzi na exporter mkubwa wa mbaazi na ufuta.
Kama alikuwa na matatizo Basi yalipaswa yatatuliwe kwa maongezi na siyo kwa kumuundia kesi FAKE ili tu aishi rumande.
Unam traumatize Manji, anaondoka, wafanyakazi 2000 wanapiteza kazi, wakulima wanahindwa kuuza mbaazi, unakosa Kodi hata kama ni Kodi kiduchu. Je hiyo ni akili au mavi?
Hizi chuki za Mwendazake dhidi ya matajiri ndizo zimemkasirisha MUNGU wetu, ndiyo maana Mwendazake amekufa licha ya kuwa chini ya ulinzi wa jaki ya juu na Madaktari full-time.
Kaiba nini na wapi?Manji ni mwizi tu kama wezi wengine.
Kwanini amkumshtaki!mkampa kesi ya m 200 akakaa ndani miezi 4 na baadae akaonekana hana kosaMleta mada acha ujinga na utopolo!
Unajua uharamia wa huyu mtu na ulaghai aliokuwa akifanya?
Huyu hana biashara ya maana zaidi ya utapeli na kama unabisha chunguza.
Ulimkamata lini akiwa anakuibia? Na kwanini hukumshitaki?In fact Manji sio muwekezaji, ni mwizi.
Magufuli made a lot of terrible decisions lakini kwa Manji Magufuli was right, he did the good thing.
Kama ingekua inaruhusiwa ku disclose facts kama court cases and disputes za taasisi za serikali ambazo Manji alilipwa hela na akagoma kutoa huduma, billions of Money humu, mtampiga mawe Manji.
Ndio maana Manji alikua na team ya wanasheria zaidi ya 50 kutoka nchi mbalimbali ili kujilinda na kumlinda dhidi ya wizi wote aliokua anafanyia taasisi za serikali.
Manji sio muwekezaji, ni mwizi.
Na mabaya ya enzi ya Magufuli hayatampata tenaSafari hii akifanya biashara zake alipe kodi, ule ujanja ujanja wa enzi za Kikwete usijirudie.
Pole!Roho ya kimaskini, kwa nini watu maskini mnawachukia sana watu waliofanikiwa?
We acha tu! Na baadhi unawakuta wanasema wamesoma, wana digrii, wantafuta ajira au wameajiliwa. Ni akili ndogo sana! Huyo TheDreamer Thebeliever aliyeleta thrd ameanza kwa heshima kabisa akiamini analeta habari njema kwa nchi. Hana hata chembe ya kujiuliza kama mtu kama huyu alijibanza wapi akisubili arudi kufanya upuuzi wake. La muhimu anataja Yanga. Yanga! Anamuombea na kufika Ikulu!Ukitafakali vipaumbele vya baadhi ya watanzania!!!Kuna watu nchi hii ni wajinga wa kula mavi!!Uyo muhindi amefanya ufisadi wa kutisha,leo kuna majitu yanashangilia ngozi nyeusi sijui tuna rahana gani,?!!
Ushahidi wa kisheria unao?In fact Manji sio muwekezaji, ni mwizi.
Magufuli made a lot of terrible decisions lakini kwa Manji Magufuli was right, he did the good thing.
Kama ingekua inaruhusiwa ku disclose facts kama court cases and disputes za taasisi za serikali ambazo Manji alilipwa hela na akagoma kutoa huduma, billions of Money humu, mtampiga mawe Manji.
Ndio maana Manji alikua na team ya wanasheria zaidi ya 50 kutoka nchi mbalimbali ili kujilinda na kumlinda dhidi ya wizi wote aliokua anafanyia taasisi za serikali.
Manji sio muwekezaji, ni mwizi.
Rostam alikuwa na upekee gani hadi akaigeuza Ikulu kama sebule yake kipindi cha Mwendazake? Yeye ndiye alikuwa Mfanyabiasha pekee nchi hii? Na akaamrishwa kabisa na Mwendazake akagombee ubunge Morogoro
Manji ataongea kitu gani na Mkumbo na wewe?
Si akawekeze india....Haujajibu swali.
Mbona mh.Mbowe amerudi muda na hajaitwa ikulu kwa mazungumzo na wala kupongezwa,au ndo tumeanza ubaguzi wa rangi???Rais Samia Hassan amuombe Manji arudi, hatimaye sasa Manji amerejea nyumbani.