Watanzania tumpuuze Maria Sarungi aliyekosa muelekeo Kisiasa

Watanzania tumpuuze Maria Sarungi aliyekosa muelekeo Kisiasa

Katika majukwaa ya kisiasa, ni kawaida kwa maneno na tuhuma mbalimbali kusambazwa, hasa pale ambapo viongozi wanaweka juhudi za kufanya mabadiliko muhimu katika taifa. Ujumbe uliotolewa dhidi ya Serikali ya Tanzania na Rais Sozi wetu na serikali. Tuendelee kujenga Tanzania yenye haki, umoja, na maendeleo kwa faida ya kizazi hiki na vizazi vijavyo.
Mbona ikulu nimeulizia Jina lako hawakujui, wameniambia niwe muangalifu na matapeli siku hizi wengi.
 
Katika majukwaa ya kisiasa, ni kawaida kwa maneno na tuhuma mbalimbali kusambazwa, hasa pale ambapo viongozi wanaweka juhudi za kufanya mabadiliko muhimu katika taifa. Ujumbe uliotolewa dhidi ya Serikali ya Tanzania na Rais uendelee kujenga Tanzania yenye haki, umoja, na maendeleo kwa faida ya kizazi hiki na vizazi vijavyo.
Siwezi kumpuuza mtanganyika mwenzangu anaewasemea watanzania, hivi kwa akili zako tu za kuzaliwa umeona Maria anashida ya pesa labda? Anajaribu kuwasemea watanzania dhidi ya kile anachokiona kwamba tunaonewa so muache afanye na sisi tumsikiliza. Ukiona inakuuma sanaa basi uanze na wanasiasa wanaotoa ahadi za uhongo, fanya kampeni ya kuwaambia watu wakija kuomba kura tusiwape ila kwa Maria tuache tunampenda hivyohivyo ndio chaguo letu la kutusemea
 
Inaelekea huko ikulu panafuka moshi kwani Maria Sarungi amenena sio peke yake tumesikia pia viongozi wakongwe mzee Butiku nae akikemea, Jaji Warioba nae amenena ni vema kitu kifanyike. Kusema Takukuru ichunguze ni kichekesho kwani wabunge wote kabla ya kuanza kusema hivi sasa ni kumsifia rais.
 
Katika majukwaa ya kisiasa, ni kawaida kwa maneno na tuhuma mbalimbali kusambazwa, hasa pale ambapo viongozi wanaweka juhudi za kufanya mabadiliko muhimu katika taifa. Ujumbe uliotolewa dhidi ya Serikali ya Tanzania na Rais ngozi wetu na serikali. Tuendelee kujenga Tanzania yenye haki, umoja, na maendeleo kwa faida ya kizazi hiki na vizazi vijavyo.
Mpaka jamaa alikuja kuwa DED mara mbili at once lazima kulikuwa na jambo.

Hoja zako kaa nazo nyumbani.
 
Maria Sarungi na Fatma Karume athari zao ni kama ‘Russia Today’ kwa nchi za West, au kama ‘BBC na CCM’ kwa Russia na China.

Hakuna ubaya kuwa mwanaharakati, Iła nchi kuwachekea wapotoshaji haya. Kawaida uwa wana maslahi, kumbe ndege iliyokamatwa Canada; mdai alikuwa mteja wa Fatuma Karume.

Wacha waendelee kucheka na hawa mataahira tuone mwisho wake.

Hiyo sio kutetea ufisadi unaondelea sasa maana upo kwa kiasi kikubwa. Walau Maria ni mpiga kelele ambae anavuka mipaka hapa na pale, Iia Fatma ni team mafisadi.
 
Katika majukwaa

WEWE mbona hujampuuza ?

You are an idiot.

Maria Sarungi is a household name.

Akiongea Dotto Biteko au Philemon Mpango watu wanazima redio, EFF OFF!

Samia Suluhu Hassan akiongea, nimeona kwa macho yangu, watu wanazima TV!

Akiongea Maria Sarungi bando limeisha unaenda kununua! Usikie Maria kachana nini.

IKULU kwenyewe hawapuuzi Maria Sarungi kasema nini. IGP, TCRA, TISS, DPP wana digital surveillance file limeandikwa MARIA SARUNGI CONFIDENTIAL!

Unampuuza puuzaje?
 
Back
Top Bottom