Watanzania tumpuuze Maria Sarungi aliyekosa muelekeo Kisiasa

Mbona ikulu nimeulizia Jina lako hawakujui, wameniambia niwe muangalifu na matapeli siku hizi wengi.
 
Siwezi kumpuuza mtanganyika mwenzangu anaewasemea watanzania, hivi kwa akili zako tu za kuzaliwa umeona Maria anashida ya pesa labda? Anajaribu kuwasemea watanzania dhidi ya kile anachokiona kwamba tunaonewa so muache afanye na sisi tumsikiliza. Ukiona inakuuma sanaa basi uanze na wanasiasa wanaotoa ahadi za uhongo, fanya kampeni ya kuwaambia watu wakija kuomba kura tusiwape ila kwa Maria tuache tunampenda hivyohivyo ndio chaguo letu la kutusemea
 
Inaelekea huko ikulu panafuka moshi kwani Maria Sarungi amenena sio peke yake tumesikia pia viongozi wakongwe mzee Butiku nae akikemea, Jaji Warioba nae amenena ni vema kitu kifanyike. Kusema Takukuru ichunguze ni kichekesho kwani wabunge wote kabla ya kuanza kusema hivi sasa ni kumsifia rais.
 
Mpaka jamaa alikuja kuwa DED mara mbili at once lazima kulikuwa na jambo.

Hoja zako kaa nazo nyumbani.
 
Maria Sarungi na Fatma Karume athari zao ni kama ‘Russia Today’ kwa nchi za West, au kama ‘BBC na CCM’ kwa Russia na China.

Hakuna ubaya kuwa mwanaharakati, Iła nchi kuwachekea wapotoshaji haya. Kawaida uwa wana maslahi, kumbe ndege iliyokamatwa Canada; mdai alikuwa mteja wa Fatuma Karume.

Wacha waendelee kucheka na hawa mataahira tuone mwisho wake.

Hiyo sio kutetea ufisadi unaondelea sasa maana upo kwa kiasi kikubwa. Walau Maria ni mpiga kelele ambae anavuka mipaka hapa na pale, Iia Fatma ni team mafisadi.
 
Katika majukwaa

WEWE mbona hujampuuza ?

You are an idiot.

Maria Sarungi is a household name.

Akiongea Dotto Biteko au Philemon Mpango watu wanazima redio, EFF OFF!

Samia Suluhu Hassan akiongea, nimeona kwa macho yangu, watu wanazima TV!

Akiongea Maria Sarungi bando limeisha unaenda kununua! Usikie Maria kachana nini.

IKULU kwenyewe hawapuuzi Maria Sarungi kasema nini. IGP, TCRA, TISS, DPP wana digital surveillance file limeandikwa MARIA SARUNGI CONFIDENTIAL!

Unampuuza puuzaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…