Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Anajaza serverHili litakuwa shoga kwani mashoga ndiyo binadamu wenye uthubutu wa kujitoa ufahamu kiasi hiki. Shoga kabisa hili
Yaani anaandika weeeh
Unakuta hata point hakuna[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajaza serverHili litakuwa shoga kwani mashoga ndiyo binadamu wenye uthubutu wa kujitoa ufahamu kiasi hiki. Shoga kabisa hili
Wewe dada ni busara kukaa kimya ukiona hoja zimekuzidi kimo cha upeo wako.Angalau walikuwa wanaweka facts
Sasa hili liLucas linajaza kurasa
Utumbo mtupu[emoji1787]
Dr Tulia ndiye Rais ajaye wa IPU anayekwenda kuchaguliwa na kupita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzimaUngeolewa usingewaza ujinga ujinga huu. Huyo Tulia hana vigezo, Yeye siyo mbunge halali, Uchaguzi ulivurugwa na CCM kwa maslahi yao, Bunge sio halali, uspika wake siyo halali. Kwanini IPU wasimuengue kwenye ushiriki, au hawafahamu kwamba Tanzania hatukuwa na uchaguzi, CCM ilijimilikisha nchi kienyeji, haikufuata sheria za uchaguzi. Sielewi kwanini huko IPU wasiulize hata AU wanafahamu hilo.
Halafu kuna huyu dada eti Tulia aombewe, ujinga mtupu.
Siyo wote ni washirikina kama ulivyo wewe na huyo Tulia wako. Ule uchawi mliokuwa mnafanya, mpaka mkatengeneza na majeneza, hautoshi kuwapeni ushindi? Na hao mnaotaka wawasaidie kuomba, una uhakika wanamjua huyo mungu wenu wa kichawi?Ndugu zangu Watanzania,
Pamoja na kwamba Dr Tulia ni mgombea mwenye sifa kubwa kuliko wagombea wenzake, anayeungwa mkono na jumuiya mbalimbali, anayepewa nafasi ya kuibuka mshindi kwa kishindo, pamoja na kuwa na elimu yake kubwa, lakini Mungu anabaki kuwa Mungu tu. Mungu anabaki kuwa ndiye muamuzi wa mwisho, ndiye mtoa uongozi na ndiye muonyesha njia.
Ndiye mchora ramani ya ushindi, ndiye anayeweza kufanya watu wakamchagua yeye na kuwaacha wengine, ndiye anayeweza kukupa kibali cha kukubalika na kupendwa mbele za watu, ndiye anayeweza kukupa ushindi, ndiye anayeweza kukushindia vita yako ambayo unaiona ni ngumu mbele zako na ikawa nyepesi na ndiye anayeweza kugeuza mioyo ya watu ikakukubali wewe tu.
Ndio maana mimi binafsi kwa kutambua uwezo wa Mwenyezi Mungu katika kila jambo, nimeona na kuwiwa moyo wangu kwa unyenyekevu mkubwa sana kuwaombeni Watanzania wenzangu kwa umoja wetu tupige magoti Tumuombee Dr Tulia Ashinde vita hii ambayo ipo mbele yake ya kuwania nafasi ya Urais wa umoja wa mabunge Duniani. Inawezekana kwa namna moja au nyingine kuna watu Ambao wangekataa kumuombea Dr Tulia kwa sababu za kisiasa au kupishana kwa hali ya kawaida tu ya kibinadamu.
Lakini ningependa kusema neno moja kuwa Dr Tulia ni mwanadamu kama sisi, kama mimi na wewe au wewe na yule. Hajakamilika na hakuna mwanadamu aliyekamilika chini ya jua, hakuna aliye mtakatifu, hakuna asiye kosea, hakuna ambaye hajawahi kosea, hakuna ambaye hakosei. Kwa hali hiyo hata Dr Tulia kuna uwezekano kuna watu amewakosea, amewakwaza, amewaudhi na kuwaumiza kwa namna moja au nyingine kwa maamuzi, matendo, au kauli. Hayo ni mambo ya kawaida kwa mwanadamu na hatuna budi kusameheana.
Jiulize wewe ulipo hapo umewakosea wangapi? Umewakwaza wangapi? Umewaliza machozi wangapi kwa bahati mbaya? Umesamehewa na Mungu wako mara ngapi? Vipi kama kila kosa ungehukumiwa na kupunguziwa hazina ya miaka yako ya kuishi hapa Duniani au pumzi yako katika mtungi wako binafsi? Nani angesalimika? Nani hazina yake ya miaka ingekuwa palepale? Je Dr Tulia siyo mwanadamu? Hakosei? Kwanini tusimsamehe alipotukosea? Kwanini tusizike tofauti zetu na kuungana kama Taifa kimaombi kumuombea kwa Mungu ushindi Dr Tulia ili Mungu amshindie vita hii na kumpa kibali cha Ushindi?
Akishinda Dr Tulia Taifa limeshinda, Watanzania tunakuwa tumeshinda na sote tutakuwa ni washindi. Binafsi namuombea sana huyu Dada yangu. Nitafurahi sana Taifa letu likishinda nafasi hii kupitia Dr Tulia. Kila mmoja kwa imani yake tuendelee kumuombea sana Dr Tulia. Tuweke pembeni tofauti zetu za kisiasa na kusimama pamoja na Dr Tulia kwa kuwa anawakilisha Taifa letu na siyo chama.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Hili limepitiliza kwenye uchawa, labda sasa limefikia kiwango cha funza.Hili chawa linakera sana
Kama imeshindikana kumpa uafisa mtendaji mtaa au kata, wangempa hata cheo cha bwana jela, ili atulie asitusumbue huku JF na mada zake za kipunguani.Watawala mteueni huyu kabla hajadata na kuokota makopo.....
Mwenzako anahangaikia tumbo. Sasa kama akitokea wa kumwonea huruma, akataka angalao hata kumpa utendaji wa mtaa, watampataje bila mawasiliano?Sasa hapo mwishoni namba ya simu ya kazi gani.
Kasome uandishi wa kubuni uone ni katika maandiko gani mwandishi anaweza kuweka namba ya simu mwishoni. Labda kama una mkakati fulani, hapo sawa.
Unategemea nini kwa mtu mwenye kiwango cha uelewa wa kuandika ujinga kama huu wa kwenye mada hii? Uandishi tu unaashiria uwezo mdogo katika elimu na uelewa wake. Hivyo hayo makosa ya kiuandishi, yanasaidia kumtambua mleta mada ni mtu wa namna gani.asante kwa kunisaidia kumwambia. Hii insha yake ina makosa mengi ya kisarufi.
Jifunze basi kujenga hoja au waachie wenye akili Timamu wajadili hojaSiyo wote ni washirikina kama ulivyo wewe na huyo Tulia wako. Ule uchawi mliokuwa mnafanya, mpaka mkatengeneza na majeneza, hautoshi kuwapeni ushindi? Na hao mnaotaka wawasaidie kuomba, una uhakika wanamjua huyo mungu wenu wa kichawi?
Siyo kila mtu ana njaa Tumboni mwake .Mwenzako anahangaikia tumbo. Sasa kama akitokea wa kumwonea huruma, akataka angalao hata kumpa utendaji wa mtaa, watampataje bila mawasiliano?
Ndugu zangu Watanzania,
Pamoja na kwamba Dr Tulia ni mgombea mwenye sifa kubwa kuliko wagombea wenzake, anayeungwa mkono na jumuiya mbalimbali, anayepewa nafasi ya kuibuka mshindi kwa kishindo, pamoja na kuwa na elimu yake kubwa, lakini Mungu anabaki kuwa Mungu tu. Mungu anabaki kuwa ndiye muamuzi wa mwisho, ndiye mtoa uongozi na ndiye muonyesha njia.
Ndiye mchora ramani ya ushindi, ndiye anayeweza kufanya watu wakamchagua yeye na kuwaacha wengine, ndiye anayeweza kukupa kibali cha kukubalika na kupendwa mbele za watu, ndiye anayeweza kukupa ushindi, ndiye anayeweza kukushindia vita yako ambayo unaiona ni ngumu mbele zako na ikawa nyepesi na ndiye anayeweza kugeuza mioyo ya watu ikakukubali wewe tu.
Ndio maana mimi binafsi kwa kutambua uwezo wa Mwenyezi Mungu katika kila jambo, nimeona na kuwiwa moyo wangu kwa unyenyekevu mkubwa sana kuwaombeni Watanzania wenzangu kwa umoja wetu tupige magoti Tumuombee Dr Tulia Ashinde vita hii ambayo ipo mbele yake ya kuwania nafasi ya Urais wa umoja wa mabunge Duniani. Inawezekana kwa namna moja au nyingine kuna watu Ambao wangekataa kumuombea Dr Tulia kwa sababu za kisiasa au kupishana kwa hali ya kawaida tu ya kibinadamu.
Lakini ningependa kusema neno moja kuwa Dr Tulia ni mwanadamu kama sisi, kama mimi na wewe au wewe na yule. Hajakamilika na hakuna mwanadamu aliyekamilika chini ya jua, hakuna aliye mtakatifu, hakuna asiye kosea, hakuna ambaye hajawahi kosea, hakuna ambaye hakosei. Kwa hali hiyo hata Dr Tulia kuna uwezekano kuna watu amewakosea, amewakwaza, amewaudhi na kuwaumiza kwa namna moja au nyingine kwa maamuzi, matendo, au kauli. Hayo ni mambo ya kawaida kwa mwanadamu na hatuna budi kusameheana.
Jiulize wewe ulipo hapo umewakosea wangapi? Umewakwaza wangapi? Umewaliza machozi wangapi kwa bahati mbaya? Umesamehewa na Mungu wako mara ngapi? Vipi kama kila kosa ungehukumiwa na kupunguziwa hazina ya miaka yako ya kuishi hapa Duniani au pumzi yako katika mtungi wako binafsi? Nani angesalimika? Nani hazina yake ya miaka ingekuwa palepale? Je Dr Tulia siyo mwanadamu? Hakosei? Kwanini tusimsamehe alipotukosea? Kwanini tusizike tofauti zetu na kuungana kama Taifa kimaombi kumuombea kwa Mungu ushindi Dr Tulia ili Mungu amshindie vita hii na kumpa kibali cha Ushindi?
Akishinda Dr Tulia Taifa limeshinda, Watanzania tunakuwa tumeshinda na sote tutakuwa ni washindi. Binafsi namuombea sana huyu Dada yangu. Nitafurahi sana Taifa letu likishinda nafasi hii kupitia Dr Tulia. Kila mmoja kwa imani yake tuendelee kumuombea sana Dr Tulia. Tuweke pembeni tofauti zetu za kisiasa na kusimama pamoja na Dr Tulia kwa kuwa anawakilisha Taifa letu na siyo chama.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya Watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Bora umuombee shetani na siyo huyu ajuza
Mtu Huwa hashindi kwa maombi anashinda kwa uwezo wake tu. Achaneni ni porojo za akina mwamposa eti ukiombewa tu hata kama ni bashite(zero) utafanya kazi B.O.TNdugu zangu Watanzania,

Alijua atamkuta MaheraKapeleka wabunge wengi wa kumshangilia anadhani huo ni uchaguzi wa ccm na chadema??????
Roho mbaya tu zinawasumbua hasa baada ya matarajio yao kwenda mrama.walitegemea Dr Tulia ashindwe lakini kwa bahati mbaya imekuwa tofauti,kwani Dr Tulia amefanikiwa kuteka mioyo ya mamia ya wajumbe wa IPU na kupata uungwaji mkono wa kishindo.Members wamechafukwa roho sana!@Lucas umeona?
Dr Tulia yupo juu ya vigezo .kwa kuwa kama ni suala la uwezo wa kiuongozi,Elimu,uzoefu, maarifa na uwezo wa kujenga hoja anavyo vyote. Dr Tulia amekamilika kila idara.ndio maana anakubalika na kuungwa mkono kutoka jumuiya zote na kanda zote.Mtu Huwa hashindi kwa maombi anashinda kwa uwezo wake tu. Achaneni ni porojo za akina mwamposa eti ukiombewa tu hata kama ni bashite(zero) utafanya kazi B.O.T
Mimi simwpmbei> sifirashishwi na jisi anavyoendesha shughuli za bunge hasa pale anapokuwa anaacha kiti chake cha uspika na kugeuka kuwa msemaji wa serikali. Ashindwe tu😂😂😂😂