Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson ashinde Urais wa IPU

Ungeolewa usingewaza ujinga ujinga huu. Huyo Tulia hana vigezo, Yeye siyo mbunge halali, Uchaguzi ulivurugwa na CCM kwa maslahi yao, Bunge sio halali, uspika wake siyo halali. Kwanini IPU wasimuengue kwenye ushiriki, au hawafahamu kwamba Tanzania hatukuwa na uchaguzi, CCM ilijimilikisha nchi kienyeji, haikufuata sheria za uchaguzi. Sielewi kwanini huko IPU wasiulize hata AU wanafahamu hilo.
Halafu kuna huyu dada eti Tulia aombewe, ujinga mtupu.
 
Dr Tulia ndiye Rais ajaye wa IPU anayekwenda kuchaguliwa na kupita kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
 
Siyo wote ni washirikina kama ulivyo wewe na huyo Tulia wako. Ule uchawi mliokuwa mnafanya, mpaka mkatengeneza na majeneza, hautoshi kuwapeni ushindi? Na hao mnaotaka wawasaidie kuomba, una uhakika wanamjua huyo mungu wenu wa kichawi?
 
Watawala mteueni huyu kabla hajadata na kuokota makopo.....
Kama imeshindikana kumpa uafisa mtendaji mtaa au kata, wangempa hata cheo cha bwana jela, ili atulie asitusumbue huku JF na mada zake za kipunguani.
 
Sasa hapo mwishoni namba ya simu ya kazi gani.
Kasome uandishi wa kubuni uone ni katika maandiko gani mwandishi anaweza kuweka namba ya simu mwishoni. Labda kama una mkakati fulani, hapo sawa.
Mwenzako anahangaikia tumbo. Sasa kama akitokea wa kumwonea huruma, akataka angalao hata kumpa utendaji wa mtaa, watampataje bila mawasiliano?
 
asante kwa kunisaidia kumwambia. Hii insha yake ina makosa mengi ya kisarufi.
Unategemea nini kwa mtu mwenye kiwango cha uelewa wa kuandika ujinga kama huu wa kwenye mada hii? Uandishi tu unaashiria uwezo mdogo katika elimu na uelewa wake. Hivyo hayo makosa ya kiuandishi, yanasaidia kumtambua mleta mada ni mtu wa namna gani.

Fikiria mtu ambaye hata maneno tu ya Kiswahili hajui!

kote anaandika kwote.
sijui anaandika sijuwi.

Haya ni makosa ambayo hata mtoto wa darasa la 4 mwenye akili na uelewa mzuri hawezi kufanya.
 
Siyo wote ni washirikina kama ulivyo wewe na huyo Tulia wako. Ule uchawi mliokuwa mnafanya, mpaka mkatengeneza na majeneza, hautoshi kuwapeni ushindi? Na hao mnaotaka wawasaidie kuomba, una uhakika wanamjua huyo mungu wenu wa kichawi?
Jifunze basi kujenga hoja au waachie wenye akili Timamu wajadili hoja
 
Mwenzako anahangaikia tumbo. Sasa kama akitokea wa kumwonea huruma, akataka angalao hata kumpa utendaji wa mtaa, watampataje bila mawasiliano?
Siyo kila mtu ana njaa Tumboni mwake .
 

Kielelezoo na Aibu ya uvunjani wa demokrasia…
 
Mtu Huwa hashindi kwa maombi anashinda kwa uwezo wake tu. Achaneni ni porojo za akina mwamposa eti ukiombewa tu hata kama ni bashite(zero) utafanya kazi B.O.T
 
Members wamechafukwa roho sana!@Lucas umeona?
Roho mbaya tu zinawasumbua hasa baada ya matarajio yao kwenda mrama.walitegemea Dr Tulia ashindwe lakini kwa bahati mbaya imekuwa tofauti,kwani Dr Tulia amefanikiwa kuteka mioyo ya mamia ya wajumbe wa IPU na kupata uungwaji mkono wa kishindo.
 
Mtu Huwa hashindi kwa maombi anashinda kwa uwezo wake tu. Achaneni ni porojo za akina mwamposa eti ukiombewa tu hata kama ni bashite(zero) utafanya kazi B.O.T
Dr Tulia yupo juu ya vigezo .kwa kuwa kama ni suala la uwezo wa kiuongozi,Elimu,uzoefu, maarifa na uwezo wa kujenga hoja anavyo vyote. Dr Tulia amekamilika kila idara.ndio maana anakubalika na kuungwa mkono kutoka jumuiya zote na kanda zote.
 
😂😂😂😂
Mimi simwpmbei> sifirashishwi na jisi anavyoendesha shughuli za bunge hasa pale anapokuwa anaacha kiti chake cha uspika na kugeuka kuwa msemaji wa serikali. Ashindwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…