Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,635
- 4,411
Vp walishawasha wasafi fm???Huyu kijana anamiliki Kampuni ambayonndani yake ina label,studio,tv,radio nk..ambavyo vyote vimeajili vijana wa Kitanzania ambao wote wanaendesha maisa yao kwa kumtegemea Huyu Kijana Diamond.
Wote tuzidi kumuombea afanikiwe zaidi ili aanzishe Kampuni Tanzu za Wasafi azidi kuwaajili vijana wenzetu.View attachment 907603
Unajuaje mkuuu acha kuhukumuWakati unaandika haya, utakuta hata fikra ya kuwaombea wazazi wako kwa Mungu hukuwa nayo.[emoji102][emoji102]
We unachangia ngapi....itafika wakat atachangia kodi kubwa kama moAnachangia Tsh ngapi kwenye pato la TAIFA?
Acha ushamba na ujinga wewe ile ni biashara uliona wapi hera inakataagwa kwani anaitangaza bureeeeDiamond mpambe tu..jiulize kwa nini tangazo la Diamond Karanga linachezwa clouds???kwa jeuri ya Ruge angelifyekelea mbali na kurudisha vijisenti vyao..Ila kwa nini linaendelea kuwepo ???
Kwasababu ya mifumo yetu ilivyo hovyo hata sijui ngapi nachangia kwenye pato la taifa.We unachangia ngapi....itafika wakat atachangia kodi kubwa kama mo
Tatizo mdhalilishaji wa wanawake