Watanzania tumuombee kwa Mungu kijana Diamond

Watanzania tumuombee kwa Mungu kijana Diamond

Mleta mada wacha papara.. tulia, jifunze kuandika vizuri ndo uje hapa

mbona roho juu juu kama kaptula ya askari wa kikoloni? tuliza wenge mzee
 
nilipoona heading tuu,nikajua huyu tayari tunampoteza kwa ngoma...
 
Huyu kijana anamiliki Kampuni ambayonndani yake ina label,studio,tv,radio nk..ambavyo vyote vimeajili vijana wa Kitanzania ambao wote wanaendesha maisa yao kwa kumtegemea Huyu Kijana Diamond.


Wote tuzidi kumuombea afanikiwe zaidi ili aanzishe Kampuni Tanzu za Wasafi azidi kuwaajili vijana wenzetu.View attachment 907603
Vp walishawasha wasafi fm???
 
Diamond mpambe tu..jiulize kwa nini tangazo la Diamond Karanga linachezwa clouds???kwa jeuri ya Ruge angelifyekelea mbali na kurudisha vijisenti vyao..Ila kwa nini linaendelea kuwepo ???
Acha ushamba na ujinga wewe ile ni biashara uliona wapi hera inakataagwa kwani anaitangaza bureeee
 
Back
Top Bottom