Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Huyu mzee kwa sasa ndiye pekee amebaki akiwa na spirit ya Kiafrika na Upendo kwa nchi yake. Amekataa kugeuka kuwa jiwe la chumvi.
Ipo mizee ya hovyo ambayo ilishaamua kuusaliti umma wa Watanganyika. Imekaa kuangalia matumbo yao na vizazi vyao. Mzee Warioba yeye hajaamua kushiriki huo ushetani. Tumwombee na kumtia moyo katika haya mapambano.
Watanzania msije mkadharau juhudi hizi za Mzee ambazo wengine wameshindwa.