Watanzania tuna mambo mengi sana ya kujifunza kwa uchaguzi mkuu uliomalizika nchini Kenya

1. Katiba mpya sio suluhisho.
tuendelee tu na katiba yetu hihiii ni bora zaidi.
 
nilichojifunza uchaguzi wa kenya ni yote aliyotaja mleta mada ila akasahau kuongeza kuwa TEKNOLOJIA INARAHISISHA KUIBIANA KATKA UCHAGUZI.
ni suala la kuwa smarter!
Uchaguzi bora kabsa ni endapo tu wanasiasa watakuwa na nia ya kulifanya taifa lao bora! (political will)
 
Kenya ishatoka kwenye orodha ile aliyotaja Trump
 
Wizi rahisi kwa tofauti ya ushjndi zero points?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…