Watanzania tuna tatizo la unafiki ndani yetu

Ghafla tushasahau habari ya no reform no election tuko busy na uchaguzi wa ccm ilhali tushakubaliana mwaka huu hamna uchaguzi ... vipi tena mnaanza ku change gia hewan?

Hatujasaha labda umesahau wewe. Tunajaribu kuwaelimisha Chawa wa CCM ambao hawaoni kuwa Watoyo wa Mwinyi, Samia, Kikwete na na Magufuli ndiyo wanufaika wa kipindi hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…