Haya mambo yanapangwa. Ni kama michezo ya kuigiza. CCM ndiyo mambo wamebakiwa nayo wanayoweza kuyafanya kwa ustadi. Unajua social media zimefanya watu wasio wadadisi rahisi sana kupotoshwa.Watanzania tunaabudu sana mtu anaeitwa kiongozi. Tunakuwa "awe stricken...." tunazidiwa na furaha.
Nimeona clip Kenan Kihongosi - of all the people - ametokea kwenye tawi la CHADEMA sijui ni mkoa gani pale.....
Tawi kabisa lina jiwe la msingi na mabendera ya CHADEMA
Watu wakaanza kumshangilia.... " Umetisha babaaaaa umetisha."
Ana shati la kijani, akawaongelesha slogan za CCM na serikali, wakaitikia, akawaambia njooni kuna mkutano msikilize hoja na itikadi zetu.... wakamshangilia .....TUNAKUJAAA !!!
Nimebaki mdomo wazi.....Mnawapendea nini hawa watu ????
CCM hawa na serikali yao walipita na AR-15 uswahilini wanapiga bomu la machozi, mkianza kukimbia different directions wanamwaga njugu... Mmesahau ?
Segerea Stendi mita kama 300 kutoka nyumbani kwa mamaake Polepole wali externinate watu kama mia hivi wakacha maiti hapo wakasepa.....
Watanganyika jamani... Kenani Kihongosi ni mtu wa kumshangilia kama Michael Jackson katokea mtaani ???
Haya mambo yanapangwa. Ni kama michezo ya kuigiza.
Wewe ni mgeni kwenye siasa za Tanzania? Au ni wale watu wanaodhani siasa ni kwa wanasiasa? Yaani hujui kabisa ziara za wanaojiita katibu mwenezi wa CCM zinakuaje? Mimi nazungumzia kitu ninachokijua. Halafu usivyojua siasa zinakwendaje unasema ''tukubali madhaifu yetu'' Wanani wakubali? Hata kama nakubaliana na maelezo yako kuwa hawa watu wanapenda CCM, huo ni udhaifu wa CHADEMA?Daaaah... yani kila kitu kimepangwa ?
Basi na utekaji nao umepangwa! Tusi deny reality kama watu wa CCM, polisi na serikali
Yani wale waliosimama wameegemea jiwe la msingi kwenye tawi la CHADEMA walikuwa ni ma agenti wa CCM... CHADEMA walikuwa wapi siku hiyo hapo mtaani ambapo na tawi wanalo ???
Asiwepo hata mmoja kati ya kijiwe kile wa kumjibu wee Kenani sepa bana wewee! Au CCM waliwapanga wananchi mtaa mzima ?
Tukubali madhaifu yetu, tuyafanyie kazi. Tuache kuabudu viongozi.
huo ni ushirikina gentleman, wa kuabudiwa ni Mungu pekee.Watanzania tunaabudu sana mtu anaeitwa kiongozi. Tunakuwa "awe stricken...." tunazidiwa na furaha.
Nimeona clip Kenan Kihongosi - of all the people - ametokea kwenye tawi la CHADEMA sijui ni mkoa gani pale.....
Tawi kabisa lina jiwe la msingi na mabendera ya CHADEMA
Watu wakaanza kumshangilia.... " Umetisha babaaaaa umetisha."
Ana shati la kijani, akawaongelesha slogan za CCM na serikali, wakaitikia, akawaambia njooni kuna mkutano msikilize hoja na itikadi zetu.... wakamshangilia .....TUNAKUJAAA !!!
Nimebaki mdomo wazi.....Mnawapendea nini hawa watu ????
CCM hawa na serikali yao walipita na AR-15 uswahilini wanapiga bomu la machozi, mkianza kukimbia different directions wanamwaga njugu... Mmesahau ?
Segerea Stendi mita kama 300 kutoka nyumbani kwa mamaake Polepole wali externinate watu kama mia hivi wakacha maiti hapo wakasepa.....
Watanganyika jamani... Kenani Kihongosi ni mtu wa kumshangilia kama Michael Jackson katokea mtaani ???
Uduni wa Elimu... Imefikia kipindi nachukia maneno Doctor na MheshimiwaWatanzania tunaabudu sana mtu anaeitwa kiongozi. Tunakuwa "awe stricken...." tunazidiwa na furaha.
Nimeona clip Kenan Kihongosi - of all the people - ametokea kwenye tawi la CHADEMA sijui ni mkoa gani pale.....
Tawi kabisa lina jiwe la msingi na mabendera ya CHADEMA
Watu wakaanza kumshangilia.... " Umetisha babaaaaa umetisha."
Ana shati la kijani, akawaongelesha slogan za CCM na serikali, wakaitikia, akawaambia njooni kuna mkutano msikilize hoja na itikadi zetu.... wakamshangilia .....TUNAKUJAAA !!!
Nimebaki mdomo wazi.....Mnawapendea nini hawa watu ????
CCM hawa na serikali yao walipita na AR-15 uswahilini wanapiga bomu la machozi, mkianza kukimbia different directions wanamwaga njugu... Mmesahau ?
Segerea Stendi mita kama 300 kutoka nyumbani kwa mamaake Polepole wali externinate watu kama mia hivi wakacha maiti hapo wakasepa.....
Watanganyika jamani... Kenani Kihongosi ni mtu wa kumshangilia kama Michael Jackson katokea mtaani ???
Yaani umeshindwa kujua kuwa hilo ni igizo la kitoto? Kiuhalisia ni nani anakaa hapo kwenye hiyo bendera? Hapo ni ofisini, ama kuna shughuli yoyote inaendelea hapo hadi Kihongosi afike hapo akute wanacdm awaite kwenye mkutano?Daaaah... yani kila kitu kimepangwa ?