Watanzania tunahitaji chama kipya cha upinzani

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Hakuna ubishi ya kwamba watanzania wanajitaji chama cha kuweza kuwa na sera mmbadala dhidi ya chama tawala.
Hata hivyo ,vyama vilivyopo vimekosa kukubalika kwa watanzania walio wengi kutokana na yafuatayo:
1: Act Wazalendo ,wako zaidi Tanzania Visiwani
2: Chadema kimenenea baadhi ya mikoa haswa walikotoka viogozi wakuu wa chama.Kule Zanzibar hawapo
3: CUF ilimezwa na ACT Wazalendo
Nawasilisha
 
Suala muhimu si chama kipya, bali chama kinachomaanisha na kuishi katika kuleta na kusimamia:
1: Maendeleo ya nchi kitaifa na kimataifa.
2: Maendeleo ya wananchi kwa kuweka mazingira bora.
3: Haki za msingi kwa kila mwananchi kuzingatiwa kwenye michakato ya kimaisha.

Hivyo, tunahitaji watu sahihi.
 
Hivi wafikiri kuanzisha chama ni kama kuazisha bustani ya nyanya , unastahili kabidhiwa kwa D.C wa kimataifa ili akupige shoo mpaka kisogo kilegee
 
Ndio maana tunahitaji chama kitakachoweza kusimamia 👆🏼
 
Hivi wafikiri kuanzisha chama ni kama kuazisha bustani ya nyanya , unastahili kabidhiwa kwa D.C wa kimataifa ili akupige shoo mpaka kisogo kilegee
Embu tueleze kuna kazi gani kubwa hiyo ?
 
Hatuna chama cha upinzani, especially CDM ndo hakuna kitu..
 
Huitaji chama bali watu sahihi. Ndani au nje ya unapopafikiria. Kuanzisha chama kipya si jibu sahihi.
Hivi kwenye hivi vyama vilivyopo vya upinzani utawezaje kupata watu sahihi ?
 
We ni ccm tu unajichanganya
 
True
 
Hivi kwenye hivi vyama vilivyopo vya upinzani utawezaje kupata watu sahihi ?
Watu wapo kote, CCM na vyama vya upinzani. Tatizo ni mifumo ndani ya vyama kuleta watu sahihi, malengo ya kila mmoja na vyama na pia kukengeuka.

Tujitambue vyema wanaoongozwa na wanaoongoza katika kufikia malengo ya msingi. Msingi wa kufika kwenye malengo unatoka kwenye misukumo miwili: toka kwa mwongozaji na muongozwa.

Ukisema hayanihusu utajikuta nanga inatua usipotarajia.
 
Hivi wafikiri kuanzisha chama ni kama kuazisha bustani ya nyanya , unastahili kabidhiwa kwa D.C wa kimataifa ili akupige shoo mpaka kisogo kilegee
DC wakimataifa ni yule jamaa mfupi anaye ongea kama comedian au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…