vyama vilivyopo vimekosa kukubalika kwa watanzania walio wengi kutokana na yafuatayo:
Tazama sura hizi kwa makini katika picha hii uone chama chenye nguvu ya umma kipo kila mahali kutetea raia wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vyama vilivyopo vimekosa kukubalika kwa watanzania walio wengi kutokana na yafuatayo:
Hakuna ubishi ya kwamba watanzania wanajitaji chama cha kuweza kuwa na sera mmbadala dhidi ya chama tawala.
Hata hivyo ,vyama vilivyopo vimekosa kukubalika kwa watanzania walio wengi kutokana na yafuatayo:
1: Act Wazalendo ,wako zaidi Tanzania Visiwani
2: Chadema kimenenea baadhi ya mikoa haswa walikotoka viogozi wakuu wa chama.Kule Zanzibar hawapo
3: CUF ilimezwa na ACT Wazalendo
Nawasilisha
Wakishajiita makamanda wanaona inatosha 🙆♂️🙆♂️Tunataka chama Pinzani huruma, chenye viongozi wenye Sifa ya kuongoza nchi na sio genge la wahuni ama CCM B
Wameshindwa kushawishi watanzania mkuuKuongea ongea ni rahisi kafungue chama sio kulalama😂. Kwani wenyewe waliofungua sio watu kama wewe?
Wewe una ni Nini? Kuongea ni rahisi ila ukiambiwa utende Sasa?. Eti CDM ndio hakuna kitu, mnafiki mkubwa wewe.Hatuna chama cha upinzani, especially CDM ndo hakuna kitu..
Nenda wewe ukawashawishi. Umekalia kujificha JF na kuwasema waliopo field, kana kwamba uliwaajiri. Punguza unafikiWameshindwa kushawishi watanzania mkuu
Wameshindwa kushawishi watanzania mkuu