Watanzania tunahitaji chama kipya cha upinzani

vyama vilivyopo vimekosa kukubalika kwa watanzania walio wengi kutokana na yafuatayo:

Tazama sura hizi kwa makini katika picha hii uone chama chenye nguvu ya umma kipo kila mahali kutetea raia wote

 
Tunataka chama Pinzani huruma, chenye viongozi wenye Sifa ya kuongoza nchi na sio genge la wahuni ama CCM B
 


Kuongea ongea ni rahisi kafungue chama sio kulalama😂. Kwani wenyewe waliofungua sio watu kama wewe?
 
Wakishajii
Tunataka chama Pinzani huruma, chenye viongozi wenye Sifa ya kuongoza nchi na sio genge la wahuni ama CCM B
Wakishajiita makamanda wanaona inatosha 🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Hatuna chama cha upinzani, especially CDM ndo hakuna kitu..
Wewe una ni Nini? Kuongea ni rahisi ila ukiambiwa utende Sasa?. Eti CDM ndio hakuna kitu, mnafiki mkubwa wewe.
 
Kaanzishe chama chako Cha upinzani, Kama huwezi Kaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…