Watanzania tunaimba viwanda mdomoni, Kenya wanajenga viwanda

Mwaka jana nakumbuka walifunguwa cha vw, nafikiri sasa ndio ulikuwa wakati muafaka wakufufuwa cha matairi na kile cha rejeta walao tukawauzie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
joto la jiwe njoo hapa upewe a taste of your own bitter medicine na your own enlightened brothers.😀😀😀
 
That gay. He is a product of a burst condom from a failed abortion. That gay thinks he has a better IQ to lecture us on FDI. Never ever give your knowledge to such fools. Some people were born for no reason. We need to eliminate them.


But mulisaaa dear,where do you get energy to call Kenyans gay?when its on the record that you are the gay boy stalking Kenyans on this forum.
 
 
Tatizo lenu vijana ni kupiga kelele tu pasipo evidences. Watulalio starabika wanabishana kwa hoja.
Hebu tembelea TZ Private Sector
TZ Private Sector (@tpsftz) | Twitter



Annabel! acha kua mpunga,huyo mwenzako anachokueleza ni wazi kabisa .Huu ushabiki wa kijinga unaokufanya usione naomba ungeachana nao na uwangalie hali halisi Tanzania, najua unajua haya mambo lakini tatizo unamuona kama mpinzani wako.
 
Kwanza kukosea jina langu wakati limeandikwa hapo juu na hapo hapo umequote comment yangu inaonesha namna ulivyo mvivu wa kufuatilia mambo. Kwa kukosea kuandika jina langu umekuwa disqualified na kwa mantink hiyo maelezo yako siyo authentic. Unaropoka tu ili siku iende.

acha kua mpunga,huyo mwenzako anachokueleza ni wazi kabisa
Hapa mwenzetu unaonesha ni namna gani ulivyo bendera fuata upepo. Huna maamuzi yako binafsi. Na huenda hujui hata kile jamaa yako alichokuwa anaongelea.
Sisi vijana wazalendo hatuwezi kukubali nyie watu wachace muweze kupotosha jamii ya TZ kwa kuropoka ropoka tu. Unapongelea Private Sector unatakiwa ueleze kiundani na uelewe. Kwanza kabisa Tanzania inaongoza hapa Africa Mashariki FDI. Fanya utafiti kwanza kabla ya kuanza kuweka comment zisizo na maana.

Huu ushabiki wa kijinga unaokufanya usione naomba ungeachana nao na uwangalie hali halisi Tanzania
Naendelea kusisitiza siwezi nikakubali vijana ambao sio wazalendo wakapotosha. Kwanza wewe ndiye unayeleta ushabiki wa kijinga maana huna facts. Unaandika maneno meeengi yasiyo na evidences. Mimi ninakupatia references wewe unapayuka tu.
ajua unajua haya mambo lakini tatizo unamuona kama mpinzani wako
Ona sasa unakorukia hii ni kuonesha namna ulivyo weak katika kujadiliana. Tunataka wapinzani wenye vision nasiyo wapinzani kama nyie vibaraka wa adui wa nchi yetu. Lengo la upinzani ilikuwa ni kuchochea maendeleo. Lakini nyie wenzetu ni kupinga tu na kudhalilisha watu.
 
These companies have been in Kenya but have never uplifted poor kenyans.

Look at the many coffee and tea estates that occupy most fertile kenya land owned by Britain which repatriate profits leaving kenyans poor

narrow minded
 

uzalendo mimi sio mzalendo kama ndio hivyo fyuuuuuuuuuuuu

upofu na uzoba alafu jitu lenyewe masikini haliwazi why me? pole sana
 
hizo tu?
 
These companies have been in Kenya but have never uplifted poor kenyans.

Look at the many coffee and tea estates that occupy most fertile kenya land owned by Britain which repatriate profits leaving kenyans poor
the same way all your Gold is in UK with Acacia?
 
Tanzania investors wataongea nanyi lugha ipi?Si mtapigwa chenga kwenye drafting contracts hohoho,manake kiingereza kimeshawapiga chenga,huku kenya tumejanjaruka kwa ukwasi wa kujua kila neno la kiingereza na pia tuna ujanja mwingi kupindukia!
Una hasara kichwani mwako

Mungu akusamehe
 
You're writing nonsense

No any Empiricism in you're argument rather than toilet words
 
Hujui kitu kuhusu Investment records za Tanzania ,kwa kukusaidia nenda TIC

Na kukujuza zaidi Leo na kuendelea tuko China kwenye mkutano na matajiri Wa China kuhusu uwekezaji Tanzania na wengi wamekubali kuja kuwekeza kwenye ,viwanda vya processing na madawa baridi

Just wait and see , Soon Tanzania will shake the World
 
Ongea facts sio maneno ya mtaani ,tatizo unachanga siasa na Policy ya Tanzania ya viwanda

Hivi nyie vichwa vyenu vimemeza nin?
 

Kwenye list of shame mbona hakuwepo??
Halafu yule mwenye theluji kichwani alivyoingia kwenu cdm ndiyo akawa malaika.
 

Aisee kama ni hivyo mimi sioni haja ya kuendelea na mjadala na wewe. Yaani Dangote Cement si FDI?? A private firm which came in the country with the capital to invest in cement industry!!?? Duu ngoja nikuache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…